Posts

Showing posts from January, 2018

Manchester United na Chelsea wachapwa Ligi Kuu England

http://ift.tt/eA8V8J Ilikuwa siku ya miamba kulala kwani mabingwa watetezi Chelsea pia walilazwa 3-0 na Bournemouth, ushindi ambao meneja wao Eddie Howe ameueleza kuwa matokeo bora zaidi kwao Ligi ya Premia.

Chelsea yamsajili Giroud , ManCity yajiondoa kumsajili Riyad Mahrez

http://ift.tt/eA8V8J Chelsea imemsajili mshambuliji wa Arsenal Olivier Giroud kwa mkataba wa miezi 18 utakaogharimu £18m.

BREAKING NEWS: AUBAMEYANG ATUA ARSENAL KUONGEZA NGUVU

Image
http://ift.tt/2Eqyp4M Mshambuliaji mpya wa timu ya Arsenal Pierre Aubameyang (28). VURUGU za usajili barani Ulaya zimeendelea kushika kasi huku Arsenal leo wamemtambulisha staa wao mpya Pierre Aubameyang (28) leo mchana atakuwa akilipwa paundi £180,000 kwa wiki. Hata hivyo, staa huyo aliyetoka timu ya Borrusia Dortmund amekuwa akionyesha kiwango cha hali ya juu sana kwa misimu ya hivi karibuni. Arsenal wanaonekana kulamba dume pamoja na kwamba wamemuachia mshambuliaji wao Alexies Sanchez ambaye amekwenda kujiunga na Manchester United. wamemsajili mshambuliaji huyo kwa kitita cha pauni milioni 55, akiwa ndiye mchezaji aliyesajiliwa ghali zaidi kwenye timu hiyo ya London. Awali Arsenal walitaka kumpeleka Giroud kwenye kikosi cha Dortmund kwa ajili ya kukamilisha dili la Aubameyang lakini mchezaji huyo mwenye thamani ya pauni milioni 35, aligoma kwenda Ujerumani na kusema kuwa familia yake inataka kubaki London.

Mesut Ozil asaini kandarasi mpya, Batshuayi aelekea Dortmund

http://ift.tt/eA8V8J Borussia Dortmund imekubali mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Michy Batshuayi kwa mkopo kwa kipindi cha msimu uliosalia, akisubiri kufanyiwa matibabu

Siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho: Ni mchezaji gani atakayesajiliwa na Arsenal, Liverpool, Chelsea na West Ham?

http://ift.tt/eA8V8J Ni nani atakayekuwa katika uhamisho na ni vipi utafutalia habari hizo?

Aubameyang akamilisha kuhamia Arsenal

http://ift.tt/eA8V8J Ni rasmi Pierre-Emerick #Aubameyang sasa ni mchezaji wa Arsenal, klabu hiyo ya London kaskazini imetangaza.

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 31.01.2018

http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Newcastle Rafa Benitez amefanya mazungumzo ya dharura na mmiliki Mike Ashley na bado ana ''matumaini'' ya kusaini mkataba kabla ya kumalizika kwa msimu wa kuhama

LIGI KUU ENGLAND ARSENAL WACHAPWA NA SWANSEA BAO 3-1

Image
http://ift.tt/2ErqR1E Wachezaji wa timu ya Swansea wakishangilia baada ya kushinda bao la tatu dakika ya86 kipindi cha pili katika Uwanja wa Liberty Stadium usiku wa kuamkia leo. Sam Clucas akishangilia baada ya kutupia. Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiwa hoi baada ya kufungwa. Swansea (5-4-1): Fabianski 7; Naughton 6, Van der Hoorn 7, Fernandez 7, Mawson 7.5, Olsson 6.5; Dyer 7 (Carroll 83), Fer 7, Ki 6.5, Clucas 8.5 (Routledge 90); Ayew 7.5 (Bony 88) Subs not used: Abraham, Narsingh, Nordfeldt, Bartley Goals: Clucas (24, 86), Ayew 61 Manager: Carlos Carvalhal 7.5 Arsenal (4-3-3): Cech 5; Bellerin 6, Mustafi 5, Koscielny 5.5, Monreal 7; Ramsey 7, Elneny 7 (Mkhitaryan 60, 6), Xhaka 5.5; Ozil 6.5, Lacazette 5, Iwobi 5.5 (Giroud 76) Subs not used: Ospina, Chambers, Maitland-Niles, Kolasinac, Nketiah Goal: Monreal 33 Booked: Elneny, Bellerin, Ozil Manager: Arsene Wenger 5 Referee: Lee Mason 7.5 MOM: Sam Clucas Attendance: 20,819

KAULI YA HAJI MANARA BAADA YANGA KUSONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO

Image
http://ift.tt/2ns4q4l Jumanne ya January 30 2018 Yanga walikuwa katika uwanja wa Sokoine Mbeya kucheza mchezo wao wa round ya tatu wa Kombe la ASFC dhidi ya wenyeji wao Ihefu FC, katika mchezo huo Yanga waliojifunga mapema dakika ya 37 walilazimika kusubiri hadi dakika za nyongeza kabla ya game kuisha ndio wakasawazisha. Dakika tatu za nyongeza kabla ya game kuisha Yanga walisawazisha kwa penati, hivyo dakika 90 zikamalizika kwa sare ya 1-1, mikwaju ya penati ilipopigwa Yanga akaibuka na ushindi wa penati 4-3, baada ya Yanga kusawazisha kwa penati afisa habari wa Simba Haji Manara aliandika ujumbe huu kwenye page yake ya instagram. Hata Nyani hutamani pilau,mbeleko za baadhi ya maamuzi ni kichefuchefu..ndio maana baadhi ya team zikienda kwenye international competitions wanatutia aibu tu…Ndegelec!!” Haji Manara

MANCHESTER CITY WANASA BEKI GHALI DUNIANI

Image
http://ift.tt/2rNafii Klabu ya Manchester City kupitia tovuti yake imetangaza kumsajili beki wakati wa timu ya taifa ya Ufaransa, Aymeric Laporte. Laporte mwenye umri wa miaka 23 alijiunga na klabu ya Athletic Bilbao kabla ya meneja wa City,Pep Guardiola kumsajili kwa kwa dili litakalo muweka hapo mpaka mwaka 2023. Mlinzi huyo ambaye ni chaguo la Guardiola, atavaa jezi namba 14 na kuisaidia timu hiyo kushinda mataji mbali mbali. Laporte mara baada ya kuingia kandarasi na City amesema “Ni mwenye furaha kubwa kuwa hapa katika timu yenye malengo makubwa na miongoni mwa klabu kubwa barani Ulaya,” amesema Laporte. Aymeric Laporte ameongeza “Nitaendelea kupambana na kufanya kazi kwa juhudi nikiwa chini ya Pep Guardiola na kuisaidia timu kufikia mafanikio.” Laporte alianza soka la kulipwa akiwa na Bilbao mwaka 2012

AZAM FC YAITANDIKA SHUPAVU 5 KOMBE LA SHIRIKISHO

Image
http://ift.tt/2DIyJuz Ikiwa ni siku chache baada ya kupoteza mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, Azam FC imeibukia katika michuano ya Kombe la Shirikisho na kutoa adhabu kali. Timu hiyo, ilivana na Shupavu inayoshiriki Ligi Daraja la Pili katika mchezo huo uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Katika mechi hiyo shujaa wa mchezo huo ni kinda, Paul Peter wa Azam ambaye alipiga ‘hat trick’ katika mechi hiyo katika ushindi wa mabao 5-0. Katika mchezo huo Azam ilionekana kumiliki mpira vyema katika vipindi vyote viwili huku bao la kwanza kwenye mchezo huo likifungwa dk 45 ya mchezo huku la pili likafungwa dakika hiyohiyo baada ya kuongezwa dakika mbili. P eter alifunga mabao katika kipindi cha pili cha mchezo huo akifunga dakika ya 57, 77 na 88 huku timu yake ikitangulia katika hatua hiyo ya 16 bora. Mabao mengi ya timu hiyo yalifungwa na Yahya Zaydi katika dakika ya 45 kwa njia ya penalti kabla ya Iddi Kipagulile kumchabua kipa wa Shupavu katika dakika za nyingeza b...

Manchester City yamsajili beki Aymeric Laporte kwa kitita kilichovunja rekodi

http://ift.tt/eA8V8J Klabu ya Manchester United imemsajili beki wa Ufaransa Aymeric Laporte kutoka Athletico Bilbao kwa kitita kilichovunja rekodi ya timu hiyo cha £57m

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 30.01.2018

http://ift.tt/eA8V8J Chelsea itakataa ombi lolote kutoka Manchester City kumnunua nyota wake raia wa Ubelgiji Eden Hazard hata iwapo klabu hiyo ya Pep Guradiola inataka kuvunja rekodi ya £200m. (Telegraph)

Wachezaji wawili wanaomzuia Aubameyang kutua Arsenal kwa sasa

http://ift.tt/eA8V8J Kama hapatapatikana mtu wa kuchukua nafasi yake, Aubameyang atabakia Dortmund - kama klabu hiyo ya Ujerumani ilivyoelezea.

David Beckham amiliki timu

http://ift.tt/eA8V8J David Beckham amefanikiwa kuzindua mpango wake wa muda mrefu wa uzinduzi wa timu yake ya soka huko Miami

Wafukuza upepo mahiri kuchuana London

http://ift.tt/eA8V8J Bekele, Farah na Kipchoge watachuana katika mbio za Marathon mwezi wa nne mwaka huu

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 29.01.2018

http://ift.tt/eA8V8J Wakuu wa soka ya Ulaya wanang'ang'ana kuhakikisha wanakamilisha mipango ya usajili na uhamisho wa wachezaji kabla ya kumalizika kwa msimu wa kuhama

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2GrMLTe                  

Pierre-Emerick Aubameyang: Arsenal wakaribia kumchukua mshambuliaji wa Borussia Dortmund kwa £60m

http://ift.tt/eA8V8J Arsenal wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua mshambuliaji matata kutoka Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund kwa karibu £60m.

SIMBA WAITANDIKA MAJIMAJI BAO 4,OKWI NA BOKO WATUPIA MBILI

Image
http://ift.tt/2DWBoEB Simba ambayo imecheza mechi yake ya 15 kwenye ligi msimu bila kupoteza, mabao yake yamefungwa na washambuliaji Emmanuel Okwi na John Bocco, kila mmoja akifunga mabao mawili.  Baada ya ushindi wa leo Simba sasa imefikisha alama 35 na kuendelea kuzikimbia timu za Azam FC yenye alama 30 kwenye nafasi ya pili na Yanga yenye alama 28 kwenye nafasi ya tatu. Mechi nyingine ambayo imepigwa leo kuhitimisha mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ni Singida United ambayo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Mzunguko wa pili wa ligi kuu unatarajiwa kuanza wikiendi ijayo lakini katikati ya wiki ijayo itachezwa michezo ya raundi ya tatu ya kombe la shirikisho.

RAIS WA FIFA HUENDA AKAIBUKIA NDONDO SUPER CUP 2018

Image
http://ift.tt/2Ee7mtr Baada ya kufanyika kwa mafanikio makubwa michuano ya soka la mchangani maarufu kama Ndondo Cup kwa mikoa ya Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, waandaaji wa michuano hiyo wakiwa jijini Mbeya wametangaza kuandaa Ndondo Super Cup. Kamati ya mashindano ikiwa jijini Mbeya imetangaza rasmi uwepo wa mashindano ya Ndondo Super Cup ambayo itafanyika jijini Dar es Salaam kwa kushirikisha Mabingwa wa mikoa ilipofanyika michuano ya Sports Extra Ndondo Cup, akizungumza na vyombo vya habari mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Shaffih Dauda ametangaza kuwa hicho ni kilele cha Ndondo Cup 2017 kabla ya kuanza Ndondo Cup 2018. Mashindano hayo yatashirikisha timu nne na kutakuwa na michezo minne itakayofanyika tarehe 17, 18, 20, 21 mwezi February 2018 jijini Dar es Salaam”Shaffih Dauda Kwa upande wa mwenyekiti wa Ndondo Super Cup Gipson George amesifia hatua hiyo iliyofanywa na Clouds Media ukizingatia ujio wa Rais wa FIFA nchini Tanzania Infantino “Hakuna asiyejua Rais wa FIFA atakuw...

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2Gn4fA7          

YANGA WAITANDIKA AZAM LIGI KUU YA VODACOM,WAVUNJA REKODI CAHAMAZI

Image
http://ift.tt/2DCrnZD Mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi klabu ya Yanga dhidi ya Azam FC umemalizika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi kwa mabingwa hao kushinda jumla ya mabao 2-0. Kwa ushindi wa Yanga SC unaifanya timu hiyo kuvunja rekodi ya wana lamba lamba Azam FC ya kutokupoteza hata mchezo mmoja toka kuanza kwa ligi kuu soka Tanzania Bara msimu huu wa mwaka 2017/18. Wafungaji katika mchezo alikuwa Shabani Chilunda wa Azam FC wakati kwa upande wa Yanga SC akiwa Obrey Chirwa na Gadiel Michael. Kwa matokeo hayo inaifanya mabingwa watetezi Yanga SC kufikisha jumla ya pointi 28 wakiwa nafasi ya tatu, Azam FC ikisalia na alama zake 30 nafasi ya pili huku Simba SC ikiongo katika msimamo wa ligi kwa kuwa na pointi 32 na mchezo mmoja mkononi ambao unatarajiwa kupigwa hapo kesho siku ya Jumapili. Katika michezo mingine iliyopigwa hii leo timu ya Mbeya City ikiwa nyumbani imekubali kutoka sare ya mabao 0 – 0 dhidi ya Mtibwa Sugar wakati Mwadui FC ikiwa n...

Antonio Conte : Nafurahia' kusalia Chelsea, hakuna mgogoro wowote

http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte amesisitiza kuwa anafurahia kusalia katika klabu hiyo licha ya uvumi kwamba uhusiano na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abrahamovic umedorora

Mourinho: Sanchez ameleta 'class' na ukomavu Manchester United

http://ift.tt/eA8V8J Uzoefu wa mchezaji Alexis Sanchez pamoja na ubora wake umeleta mwelekoo mpya katika safu ya mashambulizi ya klabu ya Manchester United, kulingana na mkufunzi Jose Mourinho

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 27.01.2018

http://ift.tt/eA8V8J Real Madrid inamtaka Mauricio Pochettino kuwa mkufunzi wake mpya na tayari imewasiliana na mkufunzi huyo wa Tottenham. (Mail)

ANGALIA MWANAMKE AMBAYE NI SHABIKI WA KOCHA JOSE MOURHINO,AMFANYIA MATUKIO YA AJABU

Image
http://ift.tt/2FlYAZE Shabiki wa soka, Vivien Bodycote, 59, ameamua moyo wake ufanye kazi mbili kwa wakati mmoja, kwanza ni kusukuma damu, pili ni kuhifadhi upendo wake kwa Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho. Inawezekana hilo likawashangaza wengi lakini ukweli ndiyo huo kuwa Vivien ni shabiki mkubwa wa kocha huyo raia wa Ureno ambaye pia ni baba wa watoto wawili. Vivien hajaficha hisia zake, bali ameziweka wazi kiasi kwamba hata mumewe, Tony ambaye ana umri wa miaka 76, anafahamu jinsi mkewe anavyomkubali kocha huyo na ndiyo maana wawili hao wametumia zaidi ya pauni 800 (Sh milioni 2.3) kuchora tatuu zenye taswira au zinazohusiana na kocha huyo. Akielezea zaidi, Vivien anasema: “Huwa ni nadra kwangu kwenda mjini kisha nirejee nikiwa sina tatuu ya Jose mwilini mwangu, nina tatuu 20 zinazomhusu yeye. Siyo kwamba ni mtu muhimu, ni mtu wa kipekee kwangu. “Nitafurahi sana nikikutana naye, nipo tayari hata kumsaliti mume wangu linapokuja suala la Mourinho. Ni mtu mwenye mwonekano wa...

Wenger amtetea Alexis Sanchez baada yake kukosa kupimwa

http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amemtetea mchezaji wa zamani wa klabu hiyo aliyehamia Manchester United baada yake kukosa kipimo muhimu kuhusu matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini.

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 26.01.2018

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar ataruhusiwa kujiunga na Real Madrid, lakini kwa makubaliano ya iwapo ataisaidia timu hiyo ya Ufaransa kubeba kombe la vilabu bingwa Ulaya

ANGALIA WACHEZAJI WA TEAM LEBRON JAMES NA STEPHEN CURRY WATAKAOSHIRIKI ALL STAR 2018

Image
http://ift.tt/2DRe4Ib Wababe wa mchezo wa kikapu Lebron James na Stephen Curry ambao ni manahodha wamechagua vikosi vyao kwa ajili ya mechi ya 2018 NBA All Star Game ambayo itachezwa Jumapili ya February 18 mwaka huu katika uwanja wa Staples Center mjini Los Angeles. Katika kikosi vikosi hivyo kila nahodha amechagua wachezji wake 11 ambapo katika timu ya Lebron amemchagua mkali kama Kevin Durant, Russell Westbrook na DeMarcus Cousins. Timu Lebron James: DeMarcus Cousins (New Orleans Pelicans), Anthony Davis (New Orleans), Kevin Durant (Golden State), Kyrie Irving (Boston Celtics), LaMarcus Aldridge (San Antonio Spurs), Bradley Beal (Washington Wizards), Kevin Love (Cleveland), Victor Oladipo (Indiana Pacers), Kristaps Porzingis (New York Knicks), John Wall (Washington) na Russell Westbrook (Oklahoma City Thunder). Timu Stephen Curry: Giannis Antetokounmpo (Milwaukee Bucks), DeMar DeRozan (Toronto Raptors), Joel Embiid (Philadelphia 76ers), James Harden (Houston Rockets), (Minnesot...

Kwa nini Mkenya Mary Keitany anapanga kuwatumia wanaume mbioni London Marathon

http://ift.tt/eA8V8J Mkenya Mary Keitany amesema atawatumia wanariadha wanaume kumsaidia kuongeza na kuendeleza kasi katika jaribio la kuvunja rekodi ya Paula Radcliffe.

Mourinho: Alexis Sanchez alitoka katika klabu nzuri na kuhamia klabu kubwa

http://ift.tt/eA8V8J Alexis Sanchez ametoka katika klabu ''nzuri'' na kuhamia klabu ''kubwa'' baada ya mchezaji huyo kujiunga na Manchester United kutoka Arsenal kulingana na mkufunzi wake mpya Jose Mourinho

DKT. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA JUMANNE NTAMBI

Image
http://ift.tt/2nbACsX Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepokea kwa majonzi taarifa ya kifo cha Kocha Msaidizi wa timu ya Mwadui FC Ndg. Jumanne Ntambi Kilichotokea usiku wa tarehe 23 Januari, 2018 mkoani Shinyanga. TAARIFA KWA UMMA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepokea kwa majonzi taarifa ya kifo cha Kocha Msaidizi wa timu ya Mwadui FC Ndg. Jumanne Ntambi Kilichotokea usiku wa tarehe 23 Januari, 2018 mkoani Shinyanga. Dkt. Mwakyembe amesema kifo chake kimeacha pengo kubwa siyo tu kwa klabu ya Mwadui bali kwa sekta ya michezo ambayo marehemu aliitendea haki kutokana na umahiri wake katika kufundisha soka. Dkt. Mwakyembe ametoa pole kwa familia ya marehemu, Uongozi wa Klabu ya Mwadui, Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Nchini (TAFCA), Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Wachezaji na Mashabiki wa Klabu ya Mwadui, ndugu, jamaa, marafiki na wanamichezo wote nchini ...

Usakaji wa mshambuliaji wa Chelsea: Mshambualiji wa zamani Chris Sutton azungumza kuhusu mshambuliaji anayetafutwa

http://ift.tt/eA8V8J Huku majina kadhaa yakihusishwa na uhamiaji wa kuelekea Chelsea , mchezaji wa zamani Chris Sutton anachanganua kuhusu mshambuliaji anayesakwa na Chelsea mwezi huu

Familia ya Sanchez pamoja na mbwa wake Atom na Humber wang’ara na jezi ya United

Image
http://ift.tt/2n6vNAV Katika kudhihirisha kuwa tayari ameshahamia Manchester United, mshambuliaji raia wa Chile, Alexis Sanchez ameamua kuivisha jezi ya timu hiyo familia yake na mbwa wake wawili ambao anawapenda Atom na Humber. Alexis Sanchez akiwa amewavisha jezi ya Man United mbwa wake Atom na Humber Sanchez ametua rasmi Old Trafford siku ya Jumatatu katika dili ambalo linamfanya kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi katika ligi ya Uingereza. Mchezaji huyo ameonekana kumvisha jezi familia yake na mbwa wake Atom na Humber huku nyuma zikiwa zimeandikwa jina lake. Atom (kushoto) na Humber (kulia) wakipelekwa ndani ya Lowry Hotel ambapo Sanchez ndipo alipofikia Mama mzazi wa Sanchez akiungana na mwanae Lowry Hotel.

ALEX SANCHEZ: UNITED NI TIMU KUBWA DUNIANI

Image
http://ift.tt/2DwUFbW MANCHESTER United, juzi, ilimsajili mshambuliaji Alex­ies Sanchez ambapo kwenye mahojiano yake ya kwanza amesema kuwa amejiunga na timu kubwa dun­iani. Sanchez amejiunga na Manches­ter United baada ya staa wa timu hiyo Henrikh Mkhitaryan ku­jiunga na Arsenal. Sanchez alikubali ku­saini mkataba wa miaka minne kuitumikia timu hiyo ya United ambayo in­afundishwa na kocha Jose Mourinho. “Ninafuraha kubwa k u j i u n g a na timu kubwa duniani, hakika ni jambo jema kupata nafasi ya kucheza kwenye uwanja huu mkubwa na wenye his­toria. “Lakini nikiri kuwa ninafuraha kubwa sana kufanya kazi chini ya kocha Jose Mourinho hili lilikuwa jambo gumu kukataa. Sanchez ndiye mchezaji atakayekuwa ak­ilipwa ghali zaidi kwenye Ligi Kuu ya England kwa sasa akiwa anachukua jumla ya pauni 600,000 kwa wiki. “Kuanzia nilipokuwa mdogo nilikuwa nase­ma kuwa nataka kuona siku moja naichezea United na siyo kwamba nasema hivyo kwa kuwa sasa nipo hapa, leo nasema kuwa ndo­to imetimia. Naamini...

Wenger athibitisha Arsenal wanamtafuta Pierre-Emerick Aubameyang

http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha wkamba klabu hiyo inataka kumnunua mchezaji wa Borussia Dortmund mzaliwa wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang.

Tetesi za soka Jumatano 24.01.18

http://ift.tt/eA8V8J Arsenal imeongeza kitita cha fedha kulipa kumsajili mchezaji wa Borussia Dortmund, raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang

Thierry Henry alimshauri Alexis Sanchez aondoke Arsenal kwenda Man Utd?

http://ift.tt/eA8V8J Mchezaji maarufu wa zamani wa Arsenal Thierry Henry amekanusha kwamba alimwambia Alexis Sanchez aihame klabu hiyo na kujiunga na Manchester United.

CAF kuzuru Tanzania

http://ift.tt/eA8V8J Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu kwenye upande wa miundo mbinu.

Angalia Picha: Mkhitaryan aanza mazoezi kwa mara ya kwanza ndani ya kikosi cha Arsenal

Image
http://ift.tt/2F60opP Henrikh Mkhitaryan ameanza mazoezi kwa mara ya kwanza toka alipojiunga na kikosi cha Arsenal na kuchukua nafasi ya Alexis Sanchez. Kiungo huyo mshambuliaji ameondoka Manchester United na kujiunga na vujana wa Emirates siku ya Jumatatu ikiwa nisehemu ya dili la Sanchez kuihama timu hiyo na kujiunga na mashetani wekundu. Mkhitaryan ameonekana kuvaa jezi namba 7 wakati wa mazoezi hayo hii leo siku ya Jumanne jezi ambayo ilikuwa ikivaliwa na Sanchez.