Wenger amtetea Alexis Sanchez baada yake kukosa kupimwa
http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amemtetea mchezaji wa zamani wa klabu hiyo aliyehamia Manchester United baada yake kukosa kipimo muhimu kuhusu matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini.