Posts

Showing posts with the label Chalii Stejoh

Chalii Stejoh - On Fire Ft. Imma G | MP3 Download

Image
          M oja ya rappers wakali Bongo wanaokuja kwa kasi na hit songs zenye good lyrics ni Chalii Stejoh, Nakukaribisha kuskiliza ngoma yake mpya ya On Fire aliyomshirikisha Imma G. Audio imetayarishwa na Defxtro kutoka studio za Noizmekah. Sikiliza/Download kisha Share na wana bila kusahau kutoa maoni yako hapo chini kuhusu hii ngoma. Enjoy!