Posts

Showing posts with the label SPORTS

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa

Image
     K ocha msaidizi wa Simba Mganda Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa ambazo zinasambaa nchini na kudai kuwa si za kweli kwani hana taarifa yoyote rasmi kutoka kwa uongozi.   Mayanja amesema hajui taarifa hizo zinatoka wapi kwasababu sio za kweli na yeye anaendelea na kazi kama kawaida. “Sijafukuzwa naendelea na kazi yangu kama kawaida”, amesema Mayanja.   Aidha Mayanja amesema hakuwepo nchini kwa siku kadhaa zilizopita kwasababu alisafiri kwenda kwao Uganda ambako alikuwa na mambo ya kifamilia na tayari ameshayamaliza na amerejea kuendelea na kazi.   “Nilienda nyumbani Uganda mara moja kulikuwa na matatizo ya kifamilia sio kwamba nimefukuzwa, ndio mana nimerejea kuendelea na kazi yangu na uongozi wa klabu haujanipa taarifa yoyote, sasa sijui hizo taarifa zimetoka wapi”, ameongeza Mayanja.   Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kwamba klabu ya Simba inataka kubadili benchi lake la ufundi lakini jana kupitia mkutano na wanaha...

Doctors Clear Tiger Woods to Play Golf

Image
           T iger Woods was given the all-clear to resume playing golf last week, although his return to competition has not yet been determined.  ESPN reported Monday that Woods, who has battled back, knee, and other injuries for several years, was told by the doctor who performed lower back fusion surgery on him in April that there are no longer physical restrictions to what can do. “He got a nice report and is allowed to proceed,” Woods’ agent Mark Steinberg told ESPN. “He can do as much as he needs to do. Tiger is going to take this very, very slowly. This is good, but he plans to do it the right way.” The 41-year-old Woods last played in February, when he withdrew from a tournament in Dubai because of his bad back. Following the surgery, he eventually was able to hit 60-yard pitch shots but that was it until last week, when he began posting videos on social media of him hitting full shots. Woods said last month i...

Panama yatangaza sikukuu baada ya kufuzu kwa Kombe la Dunia

Image
Rais wa Panama ametangaza siku ya Jumatano kuwa siku kuu baada ya nchi hiyo kufuzu kwa mechi za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanaa kabisa. Juan Carlos Varela‏ aliandika katika Twitter, "Sauti za watu zimesikika...Kesho ni siku ya kitaifa." Panama ilishinda Costa Rica mabao 2-1 mjini Panama City siku ya Jumanne. Rais alisema kuwa wafanyakazi wa umma na wale wa makampuni ya kibinafsi watapumzika na pia shule hazitafunguliwa. Watu nchini Panama walisherekea usiku kucha baada ya ushindi huo. Hata hivyo kumekuwa na utata ikiwa goli la kwanza la Panama lilivuka mstari wa goli. Panama imejaribu kufuzu kwa kila kombe la dunia tangu mwaka 1978 lakini haijafanikiwa hadi sasa. Nchi hiyo itashiriki katika mechi za mwaka 2018 ambazo zinaanza Urusi mwezi Juni mwaka ujao. Marekani ilikuwa katika kundi moja la kufuzu kwa nchi za kaskazini na kati mwa Marekani, lakini ikashindwa baada ya kupoteza kwa Trinidad and Tobago. Mexico na Costa Rica na walifuzu.

Madrid hoi Ujerumani, City na PSG sare

Image
Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema bado wana matumaini Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea kwa michezo miwili ya robo fainali kuchezwa. Wolfsburg wakiutumia vyema uwanja wao wa Volkswagen Arena, wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Real Madrid. Ricardo Rodriguez ndiye alianza kuipatia timu yake bao la kwanza kwa mkwaju wa penati baada ya Andre Schurrle kufanyiwa madhambi na Casemiro. Katika dakika ya 18 Max Arnold akaongeza bao la pili na kuwazamisha kabisa vijana wa Zidane. Nao Man City wakicheza ugenini huko nchini Ufaransa walikwenda sare ya kufunga kwa mabao 2-2, mabao ya Psg yalifungwa na mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic na Adrien Rabiot. Huku mabao ya Man City yakifungwa na viungo Kevin De Bruyne na Fernandinho, mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic alikosa mkwaju wa penati uliokolewa na kipa Joe Hart.

Pep Guardiola’s Manchester City: Who will feature in his new-look XI?

Image
All eyes are on Pep Guardiola and his plans for Manchester City in the summer As speculation builds about the impending changes at Manchester City, the club has been reportedly linked with players all over the pitch - goalkeepers, defenders, midfielders and forwards. With Yaya Toure also seemingly set to end his illustrious spell at the club, it could well be a summer of change at the Etihad Stadium. City's first-choice line-up for the 2015/16 season has looked something like this

CRISTIANO RONALDO STRIPS TO HIS UNDERWEAR TO CELEBRATE MADRID’S WIN OVER BARCA

Image
The El-Classico, The biggest game in club football took place last night and Madrid outshined Rivals Barcelona 1-2 after coming from behind at the Camp Nou thanks to Ronaldo’s 85th minute effort. Madrid had captain, Sergio Ramos sent off for a second bookable offence but kept on the pressure and true to the script, it was Ronaldo who fired home in the 85th minute to settle affairs.  Gareth Bale posted a pic on social media showing the Madrid team celebrating in the dressing room, Ronaldo can be seen in just his pants with his muscles on show.