PICHA: Diamond Platnumz Na Rick Ross Kutoa Wimbo wa Pamoja?
Diamond Platnumz, Rick Ross na Babu Tale M iongoni mwa story zinazotrend wiki hii ni picha zinazomuonesha Msanii wa Bongo Flava Tanzania Diamond Platnumz akiwa na meneja wake Babu Tale na Rick Ross wakiwa Miami USA wakiteta jambo na simu. Je kutatokea kolabo kati ya hawa watu hivi karibuni? yetu macho tungoje.