Posts

Showing posts from April, 2018

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 30.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema washambuliaji wake Gareth Bale, 28, na Karim Benzema, 30, "watasalia” katika klabu hiyo.

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 28.04.2018: Je Wenger atakubali kuwa kocha tajiri duniani?

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amepewa fursa kuwa mkufunzi tajiri zaidi duniani iwapo atajiunga na ligi kuu ya China.

Tetesi za sola Ulaya Ijumaa 27.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa anahitaji sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah na sio lawama ya kumuuza mcheza huyo Roma

Sheria mpya za IAAF kumuathiri Caster Semenya

https://ift.tt/eA8V8J Wakimbiaji wa kike wenye homoni nyingi za kiume wakumbana na vikwazo

REAL MADRID YAICHAPA BAYERN MUNICH MABAO 2-1

Image
https://ift.tt/2qZDZVq Nusu fainali ya pili ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea tena usiku wa jana kwenye uwanja wa Allianz Arena. Katika mchezo huo wenyeji Bayern Munich wamekubali kuendelea kupokea kichapo kutoka kwa Real Madrid baada ya kufungwa ka mabao 2-1. Magoli ya Madrid yalifungwa na Marcelo dakika ya 44 na Marco Asensio (57), wakati bao la kufutia machozi la Bayern lilifungwa na Joshua Kimmich dakika ya 28. Bayern Munich (4-1-4-1): Ulreich; Kimmich, Boateng (Sule 34), Hummels, Rafinha; Martinez (Tolisso 75); Robben (Thiago 8), Muller, James, Ribery; Lewandowski Unused subs: Starke, Bernat, Rudy, Wagner Goal: Kimmich 28 Bookings: Ribery 52, Thiago 89 Real Madrid (4-3-3): Navas; Carvajal (Benzema 67), Varane, Sergio Ramos, Marcelo; Modric, Casemiro (Kovacic 83), Kroos; Lucas, Ronaldo, Isco (Asensio 46) Unused subs: Casilla, Theo, Vallejo, Bale Goals: Marcelo 44, Asensio 56 Booking: Casemiro 78

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 26.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Liverpool itazuia hamu yoyote kutoka kwa Real Madrid ya kutaka kumnunua mshambulaji wa Misri Mohamed Salah, ambaye wanasema ana thamani ya £200m. (Mail)

Katibu Mkuu wa Fifa afikishwa kwenye kamati ya maadili

https://ift.tt/eA8V8J Katibu Mkuu wa Fifa afikishwa kwenye kamati ya maadili kwa tuhuma za kutumia chombo hicho wa maslahi binafsi

Henri Michel: Aliyeifunza Kenya , Ivory Coast, Cameroon, Tunisia na Morocco ameaga dunia

https://ift.tt/eA8V8J Michel aliiongoza Ufaransa, Cameroon, Morocco, Tunisia na Ivory Coast katika kombe la dunia na pia alikuwa mkufunzi wa timu za mataifa ya United Arab Emirates, Equatorial Guinea na Kenya

Arsenal: Ni kocha gani Ulaya anayeweza kuchukua mahala pake Wenger?

https://ift.tt/eA8V8J Huku Arsenal ikimtafuta mrithi wa Arsene Wenger , wanahabari wa BBC Radio 5 James Horncastle, Rafael Honigstein na Julien wanawachanganua wakufunzi walioorodheshwa kuchukua nafasi hiyo.

FA yaomba radhi kwa ujumbe wake wa mtandao wa Twitter

https://ift.tt/eA8V8J Chama cha soka cha England FA, kimeomba radhi baada ya akaunti yake ya mtandao wa twita kumdhiki mshambuliaji Harry Kane , baada ya Tottenham kufunga na Man United 2-1 katika nusu fainali ya michuano ya kombe la Fa.

TFF YATAJA SIKU YA YANGA KUPEWA 600M ZA CAF

Image
https://ift.tt/2K95l4z SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeibuka na kusema kuwa Klabu ya Yanga itakabidhiwa fedha zao za kuingia hatua ya makundi ya Caf mara baada ya kumalizika hatua hiyo na si sasa kama wadau wengi wanavyodhania kuwa watapata mara baada ya kuingia katika hatua hiyo. Yanga imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi mara baada ya kuiondoa Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa jumla ya mabao 2-1, na watavuna kiasi cha shilingi milioni 600 kama wakimaliza katika nafasi ya nne. Aidha makundi ya michuano hiyo tayari yameshatangazwa juzi Jumamosi ambapo im­epangwa Kundi D ikiwa ni pamoja na Gor Mahia ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda na USM Alger ya Algeria. Akizungumza na Championi Jumatatu, Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ephraim August, amesema kuwa, Yanga haiwezi kukabidhiwa fedha zake sasa kwa kuwa haiju­likani itamaliza nafasi ya ngapi, kwani kadiri inavyomaliza nafasi za juu, ndivyo fedha zinavyoongezeka. “Milioni 600 ambayo inatajwa Yanga

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 22.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Arsene Wenger alikuwa anafahamu wiki nne kabla ya kutangaza kuwa ataondoka katika klabu ya Arsenal mwishoni mwa msimu huu

ANGALIA FC BARCELONA WALIVYONYAKUA KOMBE LA COPA DEL REY BAADA YA KUITANDIKA SEVILA

Image
https://ift.tt/2HmSgH6 Cub ya FC Barcelona ya Hispania usiku wa April 21 2018 ilicheza mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey dhidi ya Sevilla katika uwanja wa Wanda Metropolitano wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 68000. FC Barcelona wakicheza mchezo wao wa fainali ya Copa del Rey kwa mara ya nne mfululizo wamefanikiwa kutwaa taji hilo kwa kupata ushindi wa magoli 5-0, magoli ya FC Barcelona yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 14 na 40, Lionel Messi dakika ya 31, Andre Iniesta dakika ya 52 na Philippe Coutinho kwa mkwaju wa penati dakika ya 28. Ushindi huo wa 5-0 wa FC Barcelona unaifanya timu hiyo kutwaa taji la nne mfululizo la Copa del Rey, huku nahodha wao Andre Iniesta leo akitwaa taji lake la 31 kwa mashindano yote akiwa na club ya FC Barcelona. V

Nani atakayechukua nafasi ya Wenger Arsenal?: Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 21.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Arsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)

Ian Wright: Naamini Wenger alifutwa kazi

https://ift.tt/eA8V8J Wenger anaondoka Arsenal mwaka mmoja kabla ya kandarasi yake kukamilika na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anaamini kwamba alijiondoa kabla ya kufutwa kazi.

Ancelotti: Arsene Wenger anafaa kupongezwa

https://ift.tt/eA8V8J Matokeo mabaya katika ligi ya Uingereza yameongeza uvumi kuhusu hatma ya raia huyo wa Ufaransa huku baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo wakimtaka aondoke.

Wenger awasifu Nwako Kanu, Kolo Toure na George Weah

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger aliiambia BBC Africa kwamba wachezaji wa kutoka Afrika wamekuwa na athari kubwa katika kazi yake katika kipindi cha miaka 22 iliyopita

Arsene Wenger: Mkufunzi wa Arsenal kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi Arsene Wenger anatarajiwa kuondoka mwisho wa msimu huu hatua inayokamilisha uongozi wake wa miaka 22 katika klabu hiyo.

Arsene Wenger akubali kuondoka Arsenal mwisho wa msimu

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Arsenal amekubali kuondoka katika katika klabu hiyo mwisho wasimu huu

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 20.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Paris St-Germain wamewasiliana na ajenti Mino Raiola kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba. (ESPN)

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 19.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na mkufunzi wa klabu ya New York City nchini Marekani Patrick Vieira ni miongoni mwa wakufunzi walioorodheshwa kumrithi mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger atakapostaafu. (Mail)

Neymar atarajia kurudi katika Kombe la Dunia baada ya kupoa mguu aliovunjika

https://ift.tt/eA8V8J Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Neymar anatarajia kuwa fiti kuweza kushiriki Kombe la Dunia msimu huu wa joto na anasema anaingia mazoezini Mei 17 baada ya kuvunjika guu.

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 18.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anataka kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Fred kutoka klabu ya Shakhtar Donetsk ili kuchukua mahala pake Paul Pogba

Marioo – Yale (Audio) | MP3 Download

Image
Marioo – Yale (Audio) | MP3 Download Marioo – Yale (Audio) | MP3 Download DOWNLOAD

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 16.04.18

https://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Liverpool kutoka Misri Mohamed Salah, 25, anasema kushinda Champions League ni muhimu zaidi kuliko yeye kuwa mfunga goli bora zaidi wa Premier League na kupata tuzo ya Golden Boot. (Guardian)

MANCHESTER UNITED WAIPA MAN CITY UBINGWA WA LIGI ENGLAND WATANDIKWA

Image
https://ift.tt/2ELmIEl Manchester United imefungwa 1-0 na West Brom, hatua ambayo inaipa rasmi Manchester City ubingwa wa Premier League. City ina jumla ya pointi 87 na ni Manchester United pekee ndiyo ingeweza kuzifikia iwapo ingeshinda mechi zake zote zilizosalia huku City ikitakiwa kupoteza zote. United ikicheza kwenye dimba lake la Old Trafford, iliruhusu bao pekee la West Brom kunako dakika ya 73 kupitia kwa Jay Rodriguez. Kwa matokeo hayo United yenye michezo 33 inabakiwa na pointi 71 na kama itashinda mechi zake tano zilizosalia itajikusanyia pointi 86.

Newcastle 2-1 Arsenal: Mapungufu ya Arsenal yaigharimu timu hiyo

https://ift.tt/eA8V8J Newcastle imeinyuka Arsenal 2-1 huku jinamizi la rekodi mbaya kwa Arsenal 2018 likiendelea kuiandama timu hiyo ya Arsene Wenger.

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 15.04.18

https://ift.tt/eA8V8J Manchester City itamuwania Kylian Mbappe mchezaji wa kiungo cha mbele wa Paris St-Germain na pia mchezaji wa kiungo cha kati wa Bayern Munich Thiago Alcantara.

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 14.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Kiungo wa kati wa Manchester United Ander Herrera hajui iwapo ataandikisha mkataba mpya katika uwanja wa Old Traford

Msisimko mkubwa katika wikendi ya mashindano ya Jumuiya ya madola

https://ift.tt/eA8V8J Afrika Kusini ndilo taifa linaloongoza washiriki wa Afrika, ikifuatwa na Nigeria katika nafasi ya 12, Botswana 15, Uganda 17, Kenya 18.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
https://ift.tt/2qvKOxR          

Kwa nini wanamichezo wanaotoweka kwenye michezo ya kimataifa ughaibuni?

https://ift.tt/eA8V8J Waandalizi wa michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika nchini Australia wanasema kuwa wanariadha watano kutoka Afrika wametoweka

Gold Coast: Kenya yashinda medali ya dhahabu ya kwanza

https://ift.tt/eA8V8J Kenya yashinda medali ya dhahabu ya kwanza kwenye riadha ya mita 800

Je wajua Messi anapofunga bao mji wa Barcelona hutetemeka?

https://ift.tt/eA8V8J Wanasayansi waliweka vifaa vya kupima tetemeko la ardhi katika uwanja wa Camp Nou na kufanikiwa kupima mitetemeko ya ardhi kila nyota huyo wa Barcelona anapofunga

Tetesi za soka Ulaya: Guardiola, Bertrand, Seri, Martial, Drinkwater, Mawson

https://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Manchester City Pep Guardiola atasaini mkataba wa mwaka mmoja zaidi kabla ya kumalizika kwa msimu huu. (Mirror)

R.Madrid yatinga nusu fainali ‘kibabe’

https://ift.tt/eA8V8J Goli la Penati lilofungwa na Cristiano Ronaldo katika dakika za majeruhi limeiingiza Real Madrid katika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa

Tetesi za soka Ulaya 11.04.2018: Timu zinajipanga kwa msimu ujao

https://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 22, amekataa mkataba wa miaka mitano na anataka kuondoka kwenye klabu hiyo msimu huu

Commonwealth Games: Eight Cameroon athletes 'desert' team

https://ift.tt/eA8V8J Cameroon officials say they have reported the missing weightlifters and boxers to police.

Washindi na washindwa wa michezo ya Jumuiya na madola Gold Coast

https://ift.tt/eA8V8J Wenyeji wa mashindano huyo huko Gold Coast - Australia wanaongoza na dhahabu 39, Uganda ikiwa katika nafasi ya 12, Kenya ya 21 na Mauritius ya 23.

Chelsea 'wanaelekea kucheza Europa League' baada ya sare na West Ham

https://ift.tt/eA8V8J Huku zikiwa zimesalia mechi sita, kihesabu Chelsea inaweza kufika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, ingawa itabidi timu za Liverpool (ambao wamesalia na mechi tano) na Tottenham (ambao bado wana mechi sita za kucheza) ziporomoke.

ARSENAL YAITWANGA SOUTHAMPTON 3-2

Image
https://ift.tt/2HaUWXd KLABU ya Washika Bunduki wa Jiji la London, Arsenal ‘The Gunners’ wameipa dozi ya bao 3-2 klabu ya Southampton katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza ‘EPL’, mchezo uliopigwa jana. Arsenal wakiwa nyumbani walianza kwa kuteteleka baada ya kuruhusu bao dakika za mapema kabisa za mchezo huo ambapo Shane Long aliifungia Southempton bao la kwanza dakika ya 17 tu ya mchezo huo. hali ya mchezo ilibadilika kabisa na Arsenal kuanza kukomaaili warudishe bao hilo juhudi ambazo zilizaa matunda dakika 11 baadaye baaya Pierre-Emerick Aubameyang kuisawadhishia Arsenal kunako dakika ya 28. Arsenal hawakukomea hapo, dakika 10 baadaye Danny Welbeck alichungulia nyavu za Southampton kunako dakika ya 38 na kuifanya Arsenal kuongoza kwa bao 2-1 hadi mapumziko. Dakika ya 73, Charlie Austin akaisawadhishia Southampton hali iliyowatia kiwewe Arsenal na kuongeza mashambulizi zaidi ambapo dakika ya 81, Danny Welbeck aliiandikia Arsenal bao la 3 na kuongoza katika mchezo huo. Katika gam

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 09.04.2018: Mpango wa kumchukua Fellaini, Fred atafutwa na Man Utd na City, Cresswell, Ribery, Robben, Mourinho

https://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema huenda ndiye anayefaa kulaumiwa kwa klabu hiyo kulazwa na Liverpool na Manchester United.

REAL MADRID WATOKA SARE NA ATLETICO MADRID,RONALDO NA GRIEZMANN WATUPIA

Image
https://ift.tt/2IF25wb Pamoja na kuwa vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid kuwa havina nafasi katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Hispania msimu huu kutokana na kasi ya mpinzani wao mkuu wa FC Barcelona, mchezo wa Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid bado ulikuwa na mvuto wa kipekee leo. Leo April 8 2018 katika uwanja wa Santiago Bernabeu Real Madrid waliwakaribisha wapinzani wao wa jadi kutoka jiji moja la Madrid club ya Atletico Madrid, nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendeleza kuonesha umahiri wake kama ilivyokuwa kwa Antoine Griezmann wa Atletico Madrid. Real Madrid wakiwa nyumbani walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 54 kupitia kwa staa wao Cristiano Ronaldo ila furaha yao ilidumu kwa dakika zisizozidi mbili kwani dakika ya 57 Antoine Griezmann aliisawazishia Atletico Madrid na kuufanya mchezo umalizike kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo yanazidi kumuweka pazuri zaidi mpinzani wao mkuu FC Barcelona ambaye baada ya matokeo hayo atakuwa anaongoza Lig

KOCHA WA REAL MADRID ZIDANE ATANGAZA KUTOTOA GUARD OF HONOUR KWA FC BARCELONA

Image
https://ift.tt/2H6vXEs Club ya FC Barcelona hawajapoteza mchezo hata mmoja katika Ligi Kuu Hispania msimu huu wakiwa wamecheza jumla ya game 31 na wameshinda game 24 na kutoka sare game 7 pekee, kitu ambacho kinaleta dalili nzuri na muelekeo mzuri katika mbio za kutwaa taji lao la 25 la Ligi Kuu Hispania LaLiga msimu wa 2017/2018. Ushindi huo umeifanya FC Barcelona kuongoza Ligi kwa tofauti ya point 11 dhidi ya Atletico Madrid anayewafatia nafasi ya pili kwa kuwa na jumla ya point 68 na Real Madrid akiwa nafasi ya tatu kwa kuwa na jumla ya point 64. Bila kujali matokeo ya timu nyingine FC Barcelona anahitaji point 14 ili atangaze Ubingwa wa LaLiga mapema msimu huu sawa na kupata ushindi katika game 5 wakati huu akiwa kasalia na game 7 za LaLiga mkononi, kufuatia dalili hizo inaelezwa kuwa kuna uwezekano Barcelona akacheza El Clasico dhidi ya Real Madrid akiwa tayari katangaza Ubingwa wa LaLiga. Waandishi wa habari wa Marca wameongea na kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane na kumuuliza

Gold Goast 2018: Wanariadha wa Afrika Mashariki kupambana Jumatatu mbio za mita 10,000

https://ift.tt/eA8V8J Wanariadha wa Kenya, Tanzania, Rwanda na Uganda wanatarajiwa kupambana vikali Jumatatu wiki hii katika fainali ya mbio za mita 10,000 kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola mjini Gold Goast

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 08.04.2018:: Pogba, Martial, Neymar, Guardiola, Salah, Mahrez

https://ift.tt/eA8V8J Timu za soka barani Ulaya zinafanya hima kuweka mikakati ya kuwapata wachezaji wapya na pia wakuu wa timu katika msimu huu wa majira ya joto

MAN UTD WAITANDIKA MAN CITY NYUMBANI KWAO,POGBA AWASHA MOTO

Image
https://ift.tt/2GKRMpL KLABU ya Manchester United wakiwa ugenini wameitwanga timu ya Man City kwa jumla ya bao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya uingereza ulimalizika usiku huu. Man City walianza mchezo kwa kasi ya ajabu na kuwapoteza kabisa Man U, jambo ambalo liliwafanya kumiliki mpira kwa kiwango kikubwa katika kipindi chote cha kwanza. Man City ambao ni vinara wa Ligi hiyo ndiyo walikuwa wa kwanza kutikisa nyavu za United kunako dakika ya 25 kupitia kwa Vincent Kompany aliyemalizia mkwaju wa kona kwa kichwa chake. Dakika 5 baadaye Ilkay Guendogan akaingia na kuiandikia Man City bao la pili ambalo lilidumu mpaka mwisho wa kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili Man U waliingia na moto wa kufa mtu huku wakiishambulia City kwa nguvu jitihada zilizozaa bao la kwanza kupitia kwa Paul Pogba kunako dakika ya 53. Dakika mbili baadaye, Pogba alirudi tena nyavuni na kuandika bao la pili na la kusawadhisha kwa Man U kunako dakika ya 55 kabla ya Raheem Sterling kufunga bao la tatu na la kuon

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 07.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Kocha wa klabu ya Nice ya Ufaransa Lucien Favre anatajwa kuwa kwenye orodha ya walimu wanaotajwa kuwa huenda wakarithi nafasi ya kocha wa Arsenal

BREAKING NEWS: WAMBURA ASHINDWA RUFAA YAKE, ATAENDELEA NA KIFUNGO

Image
https://ift.tt/2H1ZfEg Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura. Kamati Ya Rufaa Maadili Ya TFF baada ya kupitia rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo,Michael Richard Wambura imetupilia madai yake yote na adhabu yake itaendelea kama ilivyoamuliwa na Kamati ya Maadili ya TFF kwa kufungia kutojihusisha na soka maisha yake yote. Mbali na hilo pia kamati hiyo ya rufaa imeshauri, Wambura afikishwe kwenye vyombo vya dola ili suala hilo liweze kushughulikiwa zaidi na wataalam

UAMUZI WA KAMATI YA RUFAA YA TFF KUHUSU SAKATA LA WAMBURA NA MENGINE

Image
https://ift.tt/eA8V8J Kamati ya Rufaa ya Maadili imeitupilia mbali rufaa ya Dustan Mkundi Ditopile na kuiagiza Sekretariat kulipeleka suala kake katia vyombo vya ulinzi kwa uchunguzi zaidi. Dustan alifungiwa kutokana na kuwasilisha fomu ya mapato tofauti na fomu halisi ya Bodi ya Ligi. Edgar Chibula, Mwenyekiti wa Abajalo FC na mjumbe wa Bodi ya Ligi alikiri kutoa maneno makali mbele ya vyombo vya habari akiwa kama kiongozi. Kamati imemfungulia kifungo cha kutojihusisha na soka Edgar Chibula na kumpa onyo kali

Wakuu wa waamuzi watumiwa risasi kwa bahasha Italia

https://ift.tt/eA8V8J Mwezi jana, mamia ya mashabiki wa Lazio waliandamana katika makao makuu ya Chama cha Soka cha Italia wakidai kwamba timu yao imekuwa ikionewa sana na waamuzi msimu huu.

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 06.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Manchester United wanahakika ya kumsajili kiungo kutoka Brazil, Willian kwa paundi milioni 30, wakati kiungo Mhispania Juan Mata anatarajiwa kuondoka Old Trafford

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 05.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Real Madrid hawataki tena kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah

LIGI YA MABINGWA ULAYA : LIVERPOOL WAITANDIKA MAN CITY BAO 3-0, BARCELONA KAMA KAWA

Image
https://ift.tt/2q7xZtm ichuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Liverpool wamewachapa bila huruma vinara wa ligi kuu ya England Manchester city bao 3-0, Magoli ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Oxlade Chamberlin pamoja na Sadio Mane. Barcelona wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma wamepata ushindi wa mabao 4-1. Mabao ya Barcelona katika mchezo huo, yamefungwa na wachezaji De Rossi ,Kostas Manolas ambao walijifunga wenyewe.Goli la tatu limefungwa na Gelard Pique huku bao la nne likipachikwa na Luis Suarez, bao la kufutia machozi la As Roma likifungwa na Edin Dzeko.

Juventus 0-3 Real Madrid: Bao la Cristiano Ronaldo lililowafurahisha hata mashabiki wa Juventus

https://ift.tt/eA8V8J Bao hilo lilikuwa la ustadi mkubwa kiasi kwamba mashabiki wa Juventus ya Italia, ambao bila shaka walivunjiwa matumaini ya kufika nusufainali na bao hilo, walisimama na kumshangilia Ronaldo.

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu

REAL MADRID YAITANDIKA JUVENTUS 3-0,RONALDO AWASHA MOTO

Image
https://ift.tt/2IseMtZ Klabu ya Real Madrid ya Hispania imeichapa Juventus ya Italia bao 3-0 katika Michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa nyumbani wa Juventus, Allianz Stadium, mabao ya Madrid yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 3 na 64 huku Marcelo akifunga ukurasa wa mabao kunako dakika ya 72. Mchezo huo wa raundi ya kwanza unaitengenezea mazingira mazuri Real Madrid kusonga mbele hatua ya nusu fainali endapo italinda matokeo yake katika mzunguko wa pili. Mbali na Madrid, Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imepata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Sevilla ya Hispania. Sevilla wakiwa katika Uwanja wao wa nyumbani, Estadio R. Sanchez Pizjuan walifungwa magoli hayo na Thiago Alcantara dakika ya 68 na Jesus Navas aliyejifunga 37. Bao la Sevilla lilifungwa na Pablo Sarabia dakika 31 ya mchezo huo. JUVENTUS (4-2-3-1): Buffon 6; De Sciglio 5, Barzagli 5, Chiellini 6, Asamoah 5 (Mandzukic 69, 5); Khedira 6 (Cuadrad

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 03.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Kipa wa timu ya Manchester United, David de Gea (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka tano inayo na thamani ya paundi £350,000 kila wiki.

SAKATA LA WAMBURA YAFIKIA PATAMU,MAPYA YAIBUKA

Image
https://ift.tt/2uF3K2z RUFAA ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, sasa imefikia patamu baada ya juzi Jumamosi kusikilizwa katika makao makuu ya shirikisho hilo, Karume jijini Dar es Salaam na hivi sasa watu wengi wanataka kujua nini kinachofuatia. Hivi karibuni, Wambura alikata rufaa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF kupinga maamuzi ya Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo ya kumfungia maisha kujihusisha na soka kwa madai ya kufanya ubadhirifu wa fedha za shirikisho hilo pamoja na makosa mengine. Wakili wa Wambura, Emmanuel Muga, ameliambia Championi Jumatatu kuwa, kamati hiyo iliziita pande mbili zote zinazochuana katika sakata hilo na kuzisikiliza kwa umakini mkubwa. Alisema katika kikao hicho, mambo yalienda vizuri, kwa hiyo kinachosubiriwa tu hivi sasa ni maamuzi ya hiyo kamati. “Kamati imesikiliza kwa umakini utetezi wa Wambura, vilevile TFF nao wakizungumza ya kwao kuhusiana na mustakabali mzima wa kesi hiyo. Kwa hiyo tuna

Wenger: Mashabiki wa Arsenal watarudi Alhamisi

https://ift.tt/eA8V8J Arsenal, ambao watakuwa wenyeji wa CSKA Moscow katika ligi ndogo ya klabu Ulaya Europa League Alhamisi, wamesalia alama 13 nje ya eneo la kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya Tottenham kulaza Chelsea 3-1 Jumapili.

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.04.2018: Aguero kurejea, Pogba hana uhasama na Mourinho

https://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero atakuwa amepata nafuu vya kutosha kuweza kuwa kwenye benchi mechi ya mkondo wa kwanza robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Liverpool. (Star)

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

https://ift.tt/eA8V8J City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 01.04.2018

https://ift.tt/eA8V8J Real Madrid itajaribu kumrejesha mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata kwenda Bernabeu msimu huu