Juventus 0-3 Real Madrid: Bao la Cristiano Ronaldo lililowafurahisha hata mashabiki wa Juventus
https://ift.tt/eA8V8J Bao hilo lilikuwa la ustadi mkubwa kiasi kwamba mashabiki wa Juventus ya Italia, ambao bila shaka walivunjiwa matumaini ya kufika nusufainali na bao hilo, walisimama na kumshangilia Ronaldo.