Posts

Showing posts with the label Alhamis Exclusive

Jebby - Wanapagawa | MP3 Download ⏪ REWIND

Image
               M oja ya superstar wakubwa kwenye game ya bongo fleva Tanzania kusumbua kwenye chati za muziki ni huyu hapa Jebby aliyewahi kutamba na wimbo wa swahiba aliomshirikisha afande sele. Leo tuna-throwback audio yake ya " Wanapagawa ". Kwenye hii ngoma jebby kazungumzia kuhusu ku-party, kushow love pamoja na vitu vingine ka hivyo na hii ni baada ya kutoka ngoma ya swahiba ambayo mchizi alizungumzia kuhusu huzuni ya kuondokewa na mshkaji wake. Iskilize wanapagawa kisha SHARE maoni yako kuhusu hii track ama ninii!? CHORUS Hii ni aibu yao njoo tu-dance kwa pamoja, usijistukie sio lazima kulipuka, Hii ni aibu yao njoo tu-dance kwa pamoja, usijistukie sio lazima kulipuka, Cheki makaachaa wanapagawa, cheki hata maduu wanabembea,  Cheki makaachaa wanapagawa, cheki hata maduu wanabembea.     DOWNLOAD

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano | MP3 Download (Alhamis Exclusive)

Image
     M oja ya ngoma kali zilizowahi kutamba kwenye Chati za Bongo Flava hasa upande wa Luninga Tanzania ni hii ya "Nimerudi" (Mmenimiss) kutoka kwa Cyrill akishirikiana na Soprano (Chorus Killer) huku Beat mixing na mastering Maneck, Bano, J Ryder wakihusika kuhakikisha kila kitu kina-sound perfect. Record hii ilikuwa released mwaka 2011 kama Video huku Hassan Kundamayi ambaye ni mmiliki wa HK Vision Pro akiwa Director wa kichupa hiko.         Wimbo huu umekuja baada ya Cyrill kukaa muda mrefu kunako game bila kuachia track yoyote na kupitia misukosuko mingi ikiwemo kupata ajali namishe mishe mingi zaidi ndipo mchizi alipoamua kurudi studio kufanya unyama wa kutisha kwenye mkwaju huu. Take your time sikiliza mashairi yake kisha utaelewa jamaa alichokizingumza na melody ya mdundo ikikuburudisha zaid. "Mi najua mmenimiss Sana , Watu wangu wa kitaa"        Toa Comment yako hapo chini pia kama unatumia sim...

Stella Mwangi - Lookie Lookie (Audio) | ⏪ REWIND

Image
 REWIND SATURDAY  Lookie Lookie, By Stella Mwangi from Kenya. From the  album "Kinanda", released on June 10th 2011 , It was Composed by Beyond51. ‎Listen And Enjoy!

Nuru - Muhogo Andazi (Ft Bob Junior) | MP3 Download ⏪ REWIND

Image
   REWIND  Listen/Download One of the hit songs  zilizofanya poa Bongo And East Africa Kwa ujumla Its Nuru The Light Featuring Bob Junior (Mr Chocolate/ Sharobaro) - Muhogo Andazi. Produced By Bob Junior from Sharobaro records. DOWNLOAD

Angie - My Boo | MP3 Download ⏪ REWIND

Image
 REWIND  Angeris Faber A.K.A Angie - My Boo, Produced By Lamar. DOWNLOAD

Criss Wa Marya Tutoke (Ft Dayna) | MP3 Download

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   Criss Wa Marya Tutoke (Ft Dayna) | MP3 Download DOWNLOAD

Jackie Chandiru - Gold Digger | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 THROWBACK THURSDAY  Huyu hapa mwanadada Jackie Chandiru kutoka (UG) Uganda na wimbo wa Gold Digger.Hii ni moja ya hitsong iliyosummbua/Inayosumbua kwenye playlists za clubs maarufu africa mashariki.Sikiliza Download kisha share maoni yako hapo chini.. Enjoy!   DOWNLOAD JACKIE CHANDIRU GOLD DIGGER

Mr Lenny - Leo | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   #TBT From Kenya | Mr Lenny - Leo | Produced by HomeBoyz (Audio) | MP3 Download    DOWNLOAD AUDIO: MR LENNY - LEO | MP3 DOWNLOAD INSTRUMENTAL: MR LENNY - LEO | BEAT

Brenda - Good For Nothing | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  TBT From Kenya.Listen/Download Brenda - Good For Nothing (Audio).Production by Ulopa Ngoma. #2009 Chorus he's just so good for nothing he's got a girl but he wants to get with me he's just so good for nothing I could've fallen shame on me he's just so good yeah yeah but I gotta say for nothing nothing nothing DOWNLOAD BRENDA - GOOD FOR NOTHING | MP3

Nuh Mziwanda - Feeling Love | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 THROWBACK THURSDAY  Sikiliza/Download kisha share na wana mziki mzuri wa Nuh Mziwanda - "Feeling Love".Wimbo Huu uko produced na Manecky wa AM Records. Chorus : Am feeling love,feeling love love, wacha ni-enjoy Nasema Fire Fire,Chacharundoa Sitaki misala sala,itaniboa DOWNLOAD NUH MZIWANDA - FEELING LOVE

OCG - Aquelina (Feat Juma Nature) | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Download Old Bongo Flava hit Song from OCG - Aquelina (Featuring Juma Nature) TAGS:Aquelina wee,tulimalize tatizo,olololo,aquelina mpenzi nakupenda DOWNLOAD AUDIO: OCG - AQUELINA | MP3

Soggy Doggy - Kibanda Cha Simu | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   Download audio ya wimbo wa Soggy Doggy Featuring Josephine - Kibanda Cha Simu (Produced By P Funk Majani)   DOWNLOAD

Muumini Mwinjuma - Tunda (Audio) MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   Download audio ya wimbo wa Muumini Mwinjuma - Tunda | Tam Tam Band DOWNLOAD

Crazy GK Ft. T.I.D - Tutakukumbuka Daima Milele | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  Download audio ya wimbo wa Crazy GK Ft. T.I.D - Tutakukumbuka Daima Milele. Dedication song kwa wanafunzi zaidi ya 30 wa shule ya Lucky Vincent ambao kwa sasa ni marehemu. May God Rest their Souls in Peace! DOWNLOAD

Daz Baba Feat Daz Nundaz - Nipe Tano | MP3 Download | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Download Audio Ya wimbo wa Daz Baba - Nipe Tano (Featuring Daz Nundaz) TAGS: mp3,audio,song,music,bongo flava,throwback,nyimbo,ngoma    DOWNLOAD

Download: Suma Lee Ft CPwaa (Park Lane) - Nafasi Nyingine | ALHAMIS EXCLUSIVE

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE   Our TBT Today goes to (Park Lane) Sumalee featuring C Pwaa - Nafasi Nyingine .Production By Tabasamu Records.Listen/Download Kisha Enjoy Muziki Mzuri na wana!   DOWNLOAD AUDIO: PARK LANE - NAFASI NYINGINE | MP3

H Mbizo - Mchumba (Nilonge Nisilonge) | MP3 Download

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Download Throwback Song from H Mbizo - Mchumba (Nilonge Nisilonge) MP3 DOWNLOAD AUDIO: H MBIZO - MCHUMBA | MP3

Baby Madaha - Amore | MP3 Download

Image
 ALHAMIS EXCLUSIVE  Listen/Download Mp3 Audio ya  Baby Madaha - Amore.Music produced by Pancho Latino   DOWNLOAD AUDIO: BABY MADAHA - AMORE | MP3

Bablee - Mapenzi Vionjo (Prod. By KGT) | MP3 Download

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   #TBT Download audio ya wimbo wa Bablee - Mapenzi Vionjo,Produced By KGT (G Records) DOWNLOAD AUDIO: BABLEE - MAPENZI VIONJO | MP3

Mr Paul - Zuwena | MP3 Download

Image
  ALHAMIS EXCLUSIVE   #TBT Download audio ya wimbo wa Mr Paul - Zuwena   DOWNLOAD