Posts

Showing posts with the label NEWS

EXCLUSIVE: Picha za Tundu Lissu Akiwa Hospitali Nairobi Kenya

Image
Mbunge Tundu Lissu akiwa katika Hospitali ya Nairobi, Kenya anapopatiwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7 mjini Dodoma.

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa

Image
     K ocha msaidizi wa Simba Mganda Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa ambazo zinasambaa nchini na kudai kuwa si za kweli kwani hana taarifa yoyote rasmi kutoka kwa uongozi.   Mayanja amesema hajui taarifa hizo zinatoka wapi kwasababu sio za kweli na yeye anaendelea na kazi kama kawaida. “Sijafukuzwa naendelea na kazi yangu kama kawaida”, amesema Mayanja.   Aidha Mayanja amesema hakuwepo nchini kwa siku kadhaa zilizopita kwasababu alisafiri kwenda kwao Uganda ambako alikuwa na mambo ya kifamilia na tayari ameshayamaliza na amerejea kuendelea na kazi.   “Nilienda nyumbani Uganda mara moja kulikuwa na matatizo ya kifamilia sio kwamba nimefukuzwa, ndio mana nimerejea kuendelea na kazi yangu na uongozi wa klabu haujanipa taarifa yoyote, sasa sijui hizo taarifa zimetoka wapi”, ameongeza Mayanja.   Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kwamba klabu ya Simba inataka kubadili benchi lake la ufundi lakini jana kupitia mkutano na wanaha...

Justin Bieber: Pedophiles Run The ‘Evil’ Music Industry

Image
Justin Bieber told hundreds of people at a Bible study class in Los Angeles that he has “woken up” to the “evils of the music industry” and he needs to take a break from the industry because it is “controlled by the absolute worst kind of people – pedophiles.”        B ieber has become a regular at the Bible study class held at the Montage in Beverly Hills and on Saturday 22nd July he shared what he described as a “horrific story” with the congregation and explained why he felt he had to quit his world tour. Describing a party on tour – attended by the upper echelon of the music business, including executive VPs of development, producers, power agents and international financiers –  Bieber said he was encouraged to sexually abuse a young child who had been bought to the party for the sexual gratification of the industry elite. “I didn’t want to do this. I really didn’t. They said this kid was drugged, it was horrible,” Bieber said, expl...

Philippine Military Pushes to Defeat Last Marawi Fighters

Image
     G unfire rang out sporadically and explosions thudded as Philippine soldiers fought Tuesday to gain control of the last pocket of Marawi controlled by Islamic militants as President Rodrigo Duterte declared the southern city liberated from “terrorist influence.” The military, boosted by the deaths of two key militant leaders in a gun battle the day before, hopes the current fighting is the final phase of defeating a dwindling band of fighters who are now trapped in an area the army says is about 2 hectares (5 acres). Duterte visited the battle-scarred city on Tuesday where to cheers from troops he announced its liberation in a short speech from a stage at a ruined school campus about a kilometer from the fighting. “Ladies and gentlemen, I hereby declare Marawi city liberated from the terrorist influence,” he said. Military chief Gen. Eduardo Ano told The Associated Press that Duterte’s statement means the threat from the militants, who’ve occupied part...

Malaysia Says No decision On Offers to Search for Missing MH370

Image
       M alaysia said on Tuesday it has received proposals from three companies offering to continue the search for Malaysian Airlines flight MH370, which has been missing since 2014, but no decision has been made yet. MH370 vanished three years ago somewhere in the southern Indian Ocean en route to Beijing from Kuala Lumpur with 239 people aboard. Its disappearance has become one of the world’s greatest aviation mysteries. Malaysian Transport Minister Liow Tiong Lai said proposals were received from U.S.-based seabed exploration firm Ocean Infinity, Dutch firm Fugro and an unidentified Malaysian company. “We wont be deciding anything now on whether we are embarking on a new search or not,” Liow told reporters on the sidelines of an event in Kuala Lumpur. “We have to discuss with the companies. It will take some time as it’s some detailed discussions,” he said. Liow was commenting on media reports from Australia that said Malaysia could resume the searc...

Doctors Clear Tiger Woods to Play Golf

Image
           T iger Woods was given the all-clear to resume playing golf last week, although his return to competition has not yet been determined.  ESPN reported Monday that Woods, who has battled back, knee, and other injuries for several years, was told by the doctor who performed lower back fusion surgery on him in April that there are no longer physical restrictions to what can do. “He got a nice report and is allowed to proceed,” Woods’ agent Mark Steinberg told ESPN. “He can do as much as he needs to do. Tiger is going to take this very, very slowly. This is good, but he plans to do it the right way.” The 41-year-old Woods last played in February, when he withdrew from a tournament in Dubai because of his bad back. Following the surgery, he eventually was able to hit 60-yard pitch shots but that was it until last week, when he began posting videos on social media of him hitting full shots. Woods said last month i...

Hamisa Mobetto aonyesha ‘ufundi mauno’ kwenye Salome ya Diamond Platinumz

Image
        M wanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Mrembo huyo alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wadau waliojitokeza ukumbini hapo ambapo alionyesha uwezo wake wa kukatika mauno kupitia wimbo, Salome wa Diamond Video Credit: Bongo 5

Mahakama ya Afrika Kusini Yaamuru Rais Jacob Zuma Ashtakiwe

Image
      M ahakama ya juu ya rufaa nchini Afrika Kusini imeamuru kwamba Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma lazima akabiliane na mashtaka ya rushwa, kugushi na kujihusisha na mtandao wa utakasishaji fedha. Mahakama hiyo ilikubali uamuzi wa mahakama ya chini katika uamuzi wake ilioutoa mwaka uliopita, mahakama hiyo ikiwaamuru waendesha mashtaka wanawewza kuyarejesha mashitaka 783 ya rushwa inayohusiana na makubaliano ya kununua silaha ya mwaka 1999. Mashtaka hayo yaliwekwa pembeni miaka minane iliyopita na kumuwezsha Zuma kuwania na kushinda urais wa nchi hiyo na kushinda. Rais Zuma mara zote amedai kuwa hana hatia na katika taarifa iliyotolewa na ofisi yake inasema maamuzi hayo ya mahakama ya juu yanasikitisha lakini alitarajia hivyo.

Kenyatta Aidhinisha Kutolewa kwa Dola 120 Milioni za Uchaguzi Mpya Kenya

Image
       R ais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha mswada wa bajeti ndogo ambao umetenga Kshs 12 bilioni (Dola 120 milioni) za kutumiwa na Tume ya Uchagizi katika uchaguzi mkuu mpya tarehe 26 Oktoba. Kadhalika, kutengwa kwa Kshs 25 bilioni za kutumiwa kufadhili mpango wa elimu ya sekondari bila malipo ambao Rais Kenyatta alikuwa ameahidi kwenye kampeni kwamba utaanza kutekelezwa Januari mwaka ujao. Aidha, kuna Kshs 6.7 bilioni za kufadhili ununuzi wa mahindi kuhakikisha kuuzwa kwa unga wa bei nafuu. Wazee wa miaka 70 na zaidi wametengewa Kshs 6.7 bilioni chini ya mpango wa Inua Jamii ambao hutoa malipo kila mwezi kuwasaidia kujikimu kimaisha .

Gigy Money Mjamzito?

Image
          G igy Money. MUUZA ‘nyago’ na msanii wa filamu Bongo, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kubeba ujauzito wa mwandani wake Moulad Alpha ‘Moj’ ambaye ni mtangazaji wa kituo cha Choice FM, ambapo za chini ya kapeti zinaeleza anafanya siri ili kuepuka kile anachokiita “kupigwa juju”. Kwa mujibu wa chanzo, msanii huyo kwa sasa ana kibendi kipatacho miezi miwili ila amekuwa akihofia kueka wazi suala hilo sababu ya kuogopa kufanyiwa mambo ya kishirikina, ila watu wake wa karibu wengi wameanza kumstukia kutokana na dalili za wazi alizonazo.  Alipovutiwa waya na paparazi wa Global Publishers kuhusiana na ishu hiyo alionekana kuuma maneno na kusema kuwa; “Sina mimba ila siku hizi nakula sana labda ndio maana watu wanahisi nina kibendi, pia siku hizi nimepungua mwili kwa sababu sifanyi tena mazoezi.

Panama yatangaza sikukuu baada ya kufuzu kwa Kombe la Dunia

Image
Rais wa Panama ametangaza siku ya Jumatano kuwa siku kuu baada ya nchi hiyo kufuzu kwa mechi za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanaa kabisa. Juan Carlos Varela‏ aliandika katika Twitter, "Sauti za watu zimesikika...Kesho ni siku ya kitaifa." Panama ilishinda Costa Rica mabao 2-1 mjini Panama City siku ya Jumanne. Rais alisema kuwa wafanyakazi wa umma na wale wa makampuni ya kibinafsi watapumzika na pia shule hazitafunguliwa. Watu nchini Panama walisherekea usiku kucha baada ya ushindi huo. Hata hivyo kumekuwa na utata ikiwa goli la kwanza la Panama lilivuka mstari wa goli. Panama imejaribu kufuzu kwa kila kombe la dunia tangu mwaka 1978 lakini haijafanikiwa hadi sasa. Nchi hiyo itashiriki katika mechi za mwaka 2018 ambazo zinaanza Urusi mwezi Juni mwaka ujao. Marekani ilikuwa katika kundi moja la kufuzu kwa nchi za kaskazini na kati mwa Marekani, lakini ikashindwa baada ya kupoteza kwa Trinidad and Tobago. Mexico na Costa Rica na walifuzu.

PICHA: Diamond Platnumz Na Rick Ross Kutoa Wimbo wa Pamoja?

Image
Diamond Platnumz, Rick Ross na Babu Tale        M iongoni mwa story zinazotrend wiki hii ni picha zinazomuonesha Msanii wa Bongo Flava Tanzania Diamond Platnumz akiwa na meneja wake Babu Tale na Rick Ross wakiwa  Miami USA wakiteta jambo na simu. Je kutatokea kolabo kati ya hawa watu hivi karibuni? yetu macho tungoje.  

EXCLUSIVE: Alikiba Afunguka kuhusu Mange Kimambi

Image
          A likiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na kusema anashukuru sana kuona anapenda kazi zake na kumpa nguvu katika kazi zake hizo kwa kutoa ‘support’. Ni kama shabiki wangu na ‘appreciate’ anapenda muziki wangu kwa sababu mimi namuheshimu kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anani ‘support’ kwenye kazi zangu lakini pia kutokana na uhuru hivyo kila mtu ana haki na vilevile mimi nina haki ya kupendwa na mtu yoyote yule, hivyo nina haki ya kupendwa na Mange Kimambi pia” alisema Alikiba Mbali na hilo Alikiba alisema anajisikia vizuri kuona muziki wake unazidi kufika mbali zaidi duniani na kuendelea kufanya vizuri nyumbani Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla....

Aslay: Sina Bifu na Beka

Image
    H UKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi pamoja katika Yamoto Band, msanii huyo amefunguka kuwa hakuna bifu lolote kati yao. Akizungumza na Gazeti la Risasi, Aslay alisema kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa kuwa katika msigano na Beka Flavor kitu mbacho si kweli kwani wao ni washkaji licha ya kutofanya kazi pamoja kwa sasa. “Mimi na Beka ni washkaji vibaya sana, tena mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa jana (juzi), mashabiki ndiyo wanakuza mambo hayo lakini ukweli ni kwamba sina bifu na Beka,” alisema Aslay.

Edward Simbeye Apata ajali mbaya ya Gari

Image
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Edward Simbeye amepata ajali ya gari. Simbeye alikuwa akitokea Dar es Salaam kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Jumatano asubuhi, Simbeye amesema ajali hiyo ilisababishwa na tairi la mbele kushoto kufyatuka hivyo gari kupoteza mwelekeo na kuanguka kando mwa barabara eneo la Kawawa mjini Moshi. “Namshukuru Mungu nimetoka salama mimi na mdogo wangu… nilikuwa nakwenda nyumbani kwa sababu za kifamilia,” amesema Simbeye.

Zitto Kabwe Kwenda Mahakamani Kupinga Uteuzi wa Rais Magufuli

Image
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) amesema Jumatano hii ataenda Mahakamani kupinga uteuzi wa nafasi ya Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Jumamosi iliyopita. Uteuzi huo ulienda sambamba na uteuzi wa Mawaziri ambapo baadhi ya mawaziri walibadilishwa na wengine kuongezwa. “Katika kulinda utawala wa sheria nchini kwetu, pia Uhuru na Hadhi ya Mhimili wa Bunge, Leo tarehe 11/10/2017 tunawasilisha mahakamani ombi la kutengua uteuzi wa Katibu wa Bunge na kutaka mchakato wa kisheria ufuatwe katika kumpata Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” aliandika Zitto Facebook. Rais Magufuli alimteua Katibu mpya wa Bunge na yule ambaye alikuwa akifanya shughuli hiyo kuahidi kumpangiwa kazi nyingine. Zitto alisema uteuzi wa Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais John Magufuli ni batili Kwa mujibu wa Sheria ya Utawala wa Bunge, sheria namba 14 ya mwaka 2008 ikisomwa pamoja na Katiba ya JMT ibara ya 87. Alisema Katiba in...

Beyonce releases ‘Mi Gente’ remix to raise money for hurricane relief efforts

Image
Beyonce has released a new remix of ‘Mi Gente’ to raise money for hurricane relief efforts. The J Balvin track and Willy William track, which was originally released in June, now features Beyonce’s Spanish vocals and is the first to be released since she gave birth to twins back in June. Posting the track on Instagram, Beyonce wrote: “I am donating my proceeds from this song to hurricane relief charities for Puerto Rico, Mexico and the other affected Caribbean islands. To help go to Beyonce.com/reliefefforts (sic).” On her website, the singer also admitted that she was “heartbroken” after large areas of the Caribbean were left decimated by recent hurricanes. “We’re heartbroken by the hurricanes and earthquakes that have devastated families around the world”, she wrote.   A post shared by Beyoncé (@beyonce) on Sep 28, 2017 at 6:00pm PDT ‘There are many ways to help. We’ve listed a few organizations that are on the ground from Mexico to the Caribbean, lending a hand to those who ne...

Angalia Maoni ya MaStar kuhusu Maamuzi Ya Diamond Platnumz kwa Hamisa Mobetto na Mtoto

Image

TODAY'S NEWSPAPERS ON SATURDAY SEPTEMBER 16, 2017

Image