Hamisa Mobetto aonyesha ‘ufundi mauno’ kwenye Salome ya Diamond Platinumz
Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Mrembo huyo alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wadau waliojitokeza ukumbini hapo ambapo alionyesha uwezo wake wa kukatika mauno kupitia wimbo, Salome wa Diamond
Video Credit: Bongo 5
