Audio: Quick Rocka Ft S2Kizzy - Tosamaganga | MP3 Download
M zee Baba Quick Rocka A.K.A Switcher kutoka Switch Music Group Leo Ameachia ngoma mpya iliyopewa jina la "Tosa Maganga" huku S2Kizzy akishirikishwa pia akisimama kama mtayarishaji wa wimbo huu. Sikiliza hapo chini kisha toa maoni yako unaionaje.. DOWNLOAD HERE