Posts

Showing posts with the label Cyrill

Cyrill - Nimerudi Ft. Soprano | MP3 Download (Alhamis Exclusive)

Image
     M oja ya ngoma kali zilizowahi kutamba kwenye Chati za Bongo Flava hasa upande wa Luninga Tanzania ni hii ya "Nimerudi" (Mmenimiss) kutoka kwa Cyrill akishirikiana na Soprano (Chorus Killer) huku Beat mixing na mastering Maneck, Bano, J Ryder wakihusika kuhakikisha kila kitu kina-sound perfect. Record hii ilikuwa released mwaka 2011 kama Video huku Hassan Kundamayi ambaye ni mmiliki wa HK Vision Pro akiwa Director wa kichupa hiko.         Wimbo huu umekuja baada ya Cyrill kukaa muda mrefu kunako game bila kuachia track yoyote na kupitia misukosuko mingi ikiwemo kupata ajali namishe mishe mingi zaidi ndipo mchizi alipoamua kurudi studio kufanya unyama wa kutisha kwenye mkwaju huu. Take your time sikiliza mashairi yake kisha utaelewa jamaa alichokizingumza na melody ya mdundo ikikuburudisha zaid. "Mi najua mmenimiss Sana , Watu wangu wa kitaa"        Toa Comment yako hapo chini pia kama unatumia sim...