PICHA: Diamond Platnumz Na Rick Ross Kutoa Wimbo wa Pamoja?

Diamond Platnumz Na Rick Ross
Diamond Platnumz, Rick Ross na Babu Tale
       Miongoni mwa story zinazotrend wiki hii ni picha zinazomuonesha Msanii wa Bongo Flava Tanzania Diamond Platnumz akiwa na meneja wake Babu Tale na Rick Ross wakiwa  Miami USA wakiteta jambo na simu. Je kutatokea kolabo kati ya hawa watu hivi karibuni? yetu macho tungoje.

Diamond Platnumz Na Rick Ross
 

Popular posts from this blog