FA yaomba radhi kwa ujumbe wake wa mtandao wa Twitter
https://ift.tt/eA8V8J Chama cha soka cha England FA, kimeomba radhi baada ya akaunti yake ya mtandao wa twita kumdhiki mshambuliaji Harry Kane , baada ya Tottenham kufunga na Man United 2-1 katika nusu fainali ya michuano ya kombe la Fa.