UAMUZI WA KAMATI YA RUFAA YA TFF KUHUSU SAKATA LA WAMBURA NA MENGINE
https://ift.tt/eA8V8J
Kamati ya Rufaa ya Maadili imeitupilia mbali rufaa ya Dustan Mkundi Ditopile na kuiagiza Sekretariat kulipeleka suala kake katia vyombo vya ulinzi kwa uchunguzi zaidi. Dustan alifungiwa kutokana na kuwasilisha fomu ya mapato tofauti na fomu halisi ya Bodi ya Ligi.
Edgar Chibula, Mwenyekiti wa Abajalo FC na mjumbe wa Bodi ya Ligi alikiri kutoa maneno makali mbele ya vyombo vya habari akiwa kama kiongozi. Kamati imemfungulia kifungo cha kutojihusisha na soka Edgar Chibula na kumpa onyo kali