Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City
https://ift.tt/eA8V8J City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.