LIGI YA MABINGWA ULAYA : LIVERPOOL WAITANDIKA MAN CITY BAO 3-0, BARCELONA KAMA KAWA
https://ift.tt/2q7xZtm
ichuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Liverpool wamewachapa bila huruma vinara wa ligi kuu ya England Manchester city bao 3-0, Magoli ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Oxlade Chamberlin pamoja na Sadio Mane. Barcelona wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma wamepata ushindi wa mabao 4-1.
Mabao ya Barcelona katika mchezo huo, yamefungwa na wachezaji De Rossi ,Kostas Manolas ambao walijifunga wenyewe.Goli la tatu limefungwa na Gelard Pique huku bao la nne likipachikwa na Luis Suarez, bao la kufutia machozi la As Roma likifungwa na Edin Dzeko.