Angalia Picha: Mkhitaryan aanza mazoezi kwa mara ya kwanza ndani ya kikosi cha Arsenal

http://ift.tt/2F60opP

Henrikh Mkhitaryan ameanza mazoezi kwa mara ya kwanza toka alipojiunga na kikosi cha Arsenal na kuchukua nafasi ya Alexis Sanchez.

Kiungo huyo mshambuliaji ameondoka Manchester United na kujiunga na vujana wa Emirates siku ya Jumatatu ikiwa nisehemu ya dili la Sanchez kuihama timu hiyo na kujiunga na mashetani wekundu. Mkhitaryan ameonekana kuvaa jezi namba 7 wakati wa mazoezi hayo hii leo siku ya Jumanne jezi ambayo ilikuwa ikivaliwa na Sanchez.

       

Popular posts from this blog