LIGI KUU ENGLAND ARSENAL WACHAPWA NA SWANSEA BAO 3-1

http://ift.tt/2ErqR1E

Wachezaji wa timu ya Swansea wakishangilia baada ya kushinda bao la tatu dakika ya86 kipindi cha pili katika Uwanja wa Liberty Stadium usiku wa kuamkia leo. Sam Clucas akishangilia baada ya kutupia. Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiwa hoi baada ya kufungwa. Swansea (5-4-1): Fabianski 7; Naughton 6, Van der Hoorn 7, Fernandez 7, Mawson 7.5, Olsson 6.5; Dyer 7 (Carroll 83), Fer 7, Ki 6.5, Clucas 8.5 (Routledge 90); Ayew 7.5 (Bony 88) Subs not used: Abraham, Narsingh, Nordfeldt, Bartley Goals: Clucas (24, 86), Ayew 61 Manager: Carlos Carvalhal 7.5 Arsenal (4-3-3): Cech 5; Bellerin 6, Mustafi 5, Koscielny 5.5, Monreal 7; Ramsey 7, Elneny 7 (Mkhitaryan 60, 6), Xhaka 5.5; Ozil 6.5, Lacazette 5, Iwobi 5.5 (Giroud 76) Subs not used: Ospina, Chambers, Maitland-Niles, Kolasinac, Nketiah Goal: Monreal 33 Booked: Elneny, Bellerin, Ozil Manager: Arsene Wenger 5 Referee: Lee Mason 7.5 MOM: Sam Clucas Attendance: 20,819

Popular posts from this blog