ANGALIA WACHEZAJI WA TEAM LEBRON JAMES NA STEPHEN CURRY WATAKAOSHIRIKI ALL STAR 2018
Wababe wa mchezo wa kikapu Lebron James na Stephen Curry ambao ni manahodha wamechagua vikosi vyao kwa ajili ya mechi ya 2018 NBA All Star Game ambayo itachezwa Jumapili ya February 18 mwaka huu katika uwanja wa Staples Center mjini Los Angeles.
Katika kikosi vikosi hivyo kila nahodha amechagua wachezji wake 11 ambapo katika timu ya Lebron amemchagua mkali kama Kevin Durant, Russell Westbrook na DeMarcus Cousins.
Timu Lebron James:
DeMarcus Cousins (New Orleans Pelicans), Anthony Davis (New Orleans), Kevin Durant (Golden State), Kyrie Irving (Boston Celtics), LaMarcus Aldridge (San Antonio Spurs), Bradley Beal (Washington Wizards), Kevin Love (Cleveland), Victor Oladipo (Indiana Pacers), Kristaps Porzingis (New York Knicks), John Wall (Washington) na Russell Westbrook (Oklahoma City Thunder).
Timu Stephen Curry:
Giannis Antetokounmpo (Milwaukee Bucks), DeMar DeRozan (Toronto Raptors), Joel Embiid (Philadelphia 76ers), James Harden (Houston Rockets), (Minnesota Timberwolves), Draymond Green (Golden State), Al Horford (Boston), Damian Lillard (Portland Trail Blazers), Kyle Lowry (Toronto), Klay Thompson (Golden State) na Karl-Anthony Towns (Minnesota).