https://ift.tt/2qZDZVq Nusu fainali ya pili ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea tena usiku wa jana kwenye uwanja wa Allianz Arena. Katika mchezo huo wenyeji Bayern Munich wamekubali kuendelea kupokea kichapo kutoka kwa Real Madrid baada ya kufungwa ka mabao 2-1. Magoli ya Madrid yalifungwa na Marcelo dakika ya 44 na Marco Asensio (57), wakati bao la kufutia machozi la Bayern lilifungwa na Joshua Kimmich dakika ya 28. Bayern Munich (4-1-4-1): Ulreich; Kimmich, Boateng (Sule 34), Hummels, Rafinha; Martinez (Tolisso 75); Robben (Thiago 8), Muller, James, Ribery; Lewandowski Unused subs: Starke, Bernat, Rudy, Wagner Goal: Kimmich 28 Bookings: Ribery 52, Thiago 89 Real Madrid (4-3-3): Navas; Carvajal (Benzema 67), Varane, Sergio Ramos, Marcelo; Modric, Casemiro (Kovacic 83), Kroos; Lucas, Ronaldo, Isco (Asensio 46) Unused subs: Casilla, Theo, Vallejo, Bale Goals: Marcelo 44, Asensio 56 Booking: Casemiro 78