Posts

Showing posts from November, 2017

Gordon Reid atinga nusufainali michuano ya Tennis Masters

http://ift.tt/eA8V8J Muingereza Gordon Reid ameshinda mchezo wake wa pili katika mashindano ya walemavu ya Tennis Masters na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuingia kwenye hatua ya nusu fainali itakayopigwa mjini Loughborough.

Sam Allardyce achukua mikoba kuinoa Everton

http://ift.tt/eA8V8J Klabu ya soka ya Everton ya Uingereza imempa kibarua cha kuinoa klabu hiyo meneja Sam Allardyce.

David Silva aongeza mkataba Manchester City

http://ift.tt/eA8V8J David Silva ametia saini mkataba wa mwaka mmoja zaidi na Manchester City hadi mwaka 2020.

Wenger: Alexandre Lacazette atakaa nje kwa muda

http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anahofia mshambuliaji Alexandre Lacazette ''hatakuwa uwanjani kwa muda'' baada ya kupata jeraha la kifundo cha mguu siku ya Jumatano

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2j3AdqZ                      

Arsenal yaichapa Huddersfield Town 5-0

http://ift.tt/eA8V8J Arsenal imeweza kutakata vilivyo ikiwa nyumbani baada ya kuichapa Huddersfield Town 5-0 katika mchezo ambao Arsenal ilitawala kila idara.

Zimbabwe yajitoa mashindano ya Cecafa

http://ift.tt/eA8V8J Timu ya taifa ya Zimbabwe imejiondoa kwenye mashindano ya Cecafa yanayotarajiwa kuanza siku ya Jumapili nchini Kenya.

LeBron James apata adhabu kali haijawai mkuta NBA

Image
http://ift.tt/2kbHRTx Mchezaji wa mpira wa kikapu maarufu kama ‘Basketball’, LeBron James ametolewa Uwanjani na muamuzi, Kane Fitzgerald kwamara ya kwanza ndani ya miaka 15, tangu kuanza kucheza NBA kufuatia madhambi aliyocheza wakati timu yake ya Cleveland Cavaliers ikikabiliana na Miami Heat. James ambaye ameifungia Cleveland Cavaliers vikapu 21 katika mchezo huo wa leo , wameibuka na ushindi wa jumla ya vikapu 108-97 huku akitolewa na muamuzi huyo ndani ya Uwanja na kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo kufuatia matumizi ya nguvu aliyotumia wakati akielekea kufunga. Mshambuliaji huyo wa Cavaliers amekutana na adhabu hiyo kwa mara ya kwanza ndani ya michezo 1,082 aliyowahi kucheza tangu kuanza kwake basketball. Sheri za NBA zina mtaka Shabiki, Muamuzi, Mchezaji na hata Kocha atakaeongea maneno machafu au vitendo vitakavyosababisha vurugu kulazimika kutolewa nje ya Uwanja. Kupitia chombo cha habari cha ESPN baada ya mchezo huo, James amesema “Nimeshitushwa na maamuz yaliyofanyw...

Everton wanakaribia kumteua Sam Allardyce kuwa meneja

http://ift.tt/eA8V8J Everton wanakaribia kumteua Sam Allardyce kuwa meneja wao mpya.

West Brom wamteua Pardew kuwa meneja

http://ift.tt/eA8V8J West Brom wamemteua meneja wa zamani wa Newcastle na Crystal Palace Alan Pardew kuwa meneja wao mpya.

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 29.11.2017

http://ift.tt/eA8V8J Real Madrid wanalenga kumsajili beki wa Chelsea na Brazil David Luiz 30 ambaye hatakikani katika uwanja wa Stamford Bridge msimu huu. (Daily Mail)

Tyson Fury: Nitataka kupigana na mtu mwenye jina kubwa zaidi

http://ift.tt/eA8V8J Bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani Tyson Fury amesema atapenda kupigana na mtu mwenye jina kubwa iwapo atarejea uwajani.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2AiD6hL      

Manchester United yaichapa Watford 4-2

http://ift.tt/eA8V8J Manchester United ikiwa ugenini katika dimba la Vicarage Road imefanikiwa kuichapa Watford 4-2 katika ushindi ambao awali ulionekana kuwa mgumu kwa United kabla ya kuanza kwa mchezo.

Mpelelezi wa Urusi atuhumiwa kusambaza dawa za kuongeza nguvu

http://ift.tt/eA8V8J Mpelelezi wa Urusi Grigory Rodchenkov anatuhimiwa na shirika la kupambana na dawa zilizokataliwa michezoni duniani (WADA) kwa kugawa dawa hizo kwa wanariadha wa Urusi.

GATTUSO KOCHA MKUU AC MILAN, HOFU YATANDA

Image
http://ift.tt/2jsZoCJ Kocha mpya wa AC Milan, Gennaro Gatuso amezua gumzo kubwa huku mambo mengi yakizungumzwa. Baada ya Milan kumtimua kocha wake na kuelezwa Gatuso ndiye atakuwa kocha mkuu, limekuwa gumzo kila upande wakijadili.       Mashabiki wa AC Milan wana hamu ya kuona ataifanyaje hiyo kazi, lakini wako wanaamini hawezi. Baadhi wamekuwa wakikumbushia tukio lake la kumkaba Kocha wa Tottenham wakati huo, Joe Jordan. Hivyo gumzo ni hofu kama kweli Gattuso maarufu kama Ringhio anaweza kuwa ni mtu mwenye subira na uvumilivu kama ambavyo makocha wanatakiwa kuwa.

Peter Crouch aongeza mkataba Stoke

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa klabu ya Stoke Peter Crouch ametia saini mkataba mwingine wa mwaka mmoja katika klabu hiyo, hatua itakayomuweka katika klabu hiyo hadi 2019.

Arsene Wenger: Sanchez na Ozil hawaondoki ng'o

http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji Alexis Sanchez na kiungo wa kati Mesut Ozil wataichezea Arsenal baada ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari

Mkufunzi wa Sevilla aliyepatikana na saratani kufanyiwa upasuaji

http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Sevilla Eduardo Berizzo atafanyiwa upasuaji siku ya Jumanne baada ya kupatikana na saratani ya tezi dume mapema mwezi huu

''Lukaku alihitaji marufuku kwa kumpiga teke mwenzake''

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku alifaa kupewa marufuku kwa kumpiga teke mlinzi wa Brighton Gaetan Bong, mchanganuzi wa maswala ya soka wa BBC Ian Wright amesema

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2jttbLH      

Wanariadha watano wa Urusi wafungiwa maisha

http://ift.tt/eA8V8J Wanariadha wengine watano wa Urusi wamefungiwa kushiriki michuano ya kimataifa ya Olimpiki kwa maisha yao yote baada ya kamati ya kimataifa ya Olimpiki kuwabaini kutumia dawa zilizokataliwa michezoni.

Gareth Bale kurejea uwanjani leo

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale atacheza kwa mara ya kwanza siku ya Jumanne baada ya kukaa nje kwa miezi miwili.

AC Milan yamtimua kocha Montella na kumpa usukani Gattuso

http://ift.tt/eA8V8J Timu hiyo haijawahi kuibuka katika nafasi tatu za juu katika ligi ya Serie A tangu 2013

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 27.11.2017

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku huenda akapigwa marufuku mechi tatu - ikiwa ni pamoja na debi ya Manchester.

Bate Borisov walivyoshinda ligi dakika ya 96 Belarus

http://ift.tt/eA8V8J Dinamo Minsk, ambao walikuwa wanashindania taji hilo walikuwa wameshinda mechi yao 4-1 na walikuwa na kila matumaini ya kutwaa ubingwa kwani Bate Borisov walikuwa nyuma mechi yao.

PSG YAITANDIKA MONACO ‘NEYMAR NA CAVANI WAPELEKA KILIO’

Image
http://ift.tt/2k3iXW4 Neymar (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Dani Alves na Draxler baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 52 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Stade Louis II. mjini Monaco. Bao la kwanza lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 19, wakati la Monaco lilifungwa na Joao Moutinho dakika ya 81           MATCH FACTS MONACO : (5-3-2) Subasic; Toure, Glik, Jemerson, Raggi (Rony Lopes 62), Jorge; Tielemans (Ghezzal 67), Moutinho, Fabinho; Keita (Sidibe 79), Falcao (C) SUBS NOT USED: Benaglio (GK); Carrillo, Diakhaby, N’Doram BOOKINGS: Jorge (9), Jemerson (30), Toure (51) GOALS: Moutinho (81) COACH: Leonardo Jardim PSG: (4-3-3) Areola; Dani Alves, Marquinhos, Thiago Silva (C), Kurzawa (Berchiche 69); Verratti, Rabiot, Draxler (Pastore 82); Mbappe, Cavani (Di Maria 82), Neymar SUBS NOT USED: Trapp (GK); Kimpembe, Lo Celso, Meunier BO...

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2BopRtg              

Ufaransa yaichapa Ubelgiji, yashinda kombe la Davis

http://ift.tt/eA8V8J Ufaransa imefanikiwa kushinda kombe la Davis kwa mara ya kumi katika historia baada ya kuichapa Ubelgiji katika mchezo wa fainali.

Bao la lala salama laipa Arsenal ushindi

http://ift.tt/eA8V8J Alexis Sanchez ameifunga penalti katika muda wa kuyoyoma na kuipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya Burnley

Southampton 4-1 Everton

http://ift.tt/eA8V8J Mabao yalifungwa na Tadic (18'), Austin (52' , 58'), na Davis (87') na la Everton limefungwa na Sigurdsson

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2zEn6Hc              

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 25.11.2017

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo, 32, amefanya mazungumzo ya siri na PSG (DiarioGol, in Spanish)

Mourinho: Kiwango cha mchezo wa Mkhitaryan kimeshuka

http://ift.tt/eA8V8J Mourinho alisema kuwa kiwango cha mchezo wa Mkhitaryan kimekuwa kikipungua hatua baada ya hatua

Messi atia saini kandarasi mpya na Barcelona hadi 2021

http://ift.tt/eA8V8J Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2AtQoYV