Gordon Reid atinga nusufainali michuano ya Tennis Masters
http://ift.tt/eA8V8J Muingereza Gordon Reid ameshinda mchezo wake wa pili katika mashindano ya walemavu ya Tennis Masters na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuingia kwenye hatua ya nusu fainali itakayopigwa mjini Loughborough.