PSG YAITANDIKA MONACO ‘NEYMAR NA CAVANI WAPELEKA KILIO’
Neymar (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Dani Alves na Draxler baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la pili dakika ya 52 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Stade Louis II. mjini Monaco. Bao la kwanza lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 19, wakati la Monaco lilifungwa na Joao Moutinho dakika ya 81
MATCH FACTS
MONACO : (5-3-2) Subasic; Toure, Glik, Jemerson, Raggi (Rony Lopes 62), Jorge; Tielemans (Ghezzal 67), Moutinho, Fabinho; Keita (Sidibe 79), Falcao (C)
SUBS NOT USED: Benaglio (GK); Carrillo, Diakhaby, N’Doram
BOOKINGS: Jorge (9), Jemerson (30), Toure (51)
GOALS: Moutinho (81)
COACH: Leonardo Jardim
PSG: (4-3-3) Areola; Dani Alves, Marquinhos, Thiago Silva (C), Kurzawa (Berchiche 69); Verratti, Rabiot, Draxler (Pastore 82); Mbappe, Cavani (Di Maria 82), Neymar
SUBS NOT USED: Trapp (GK); Kimpembe, Lo Celso, Meunier
BOOKINGS: Kurzawa (25), Neymar (45+1), Dani Alves (90), Berchiche (90+1)
GOALS: Cavani (19), Neymar (Pen 52)
COACH: Unai Emery
REFEREE: Francois Letexier
VENUE: Stade Louis II