Posts

Showing posts from February, 2018

Kamati ya Olimpiki yaiondolea adhabu Urusi

http://ift.tt/eA8V8J Kamati ya kimataifa ya Olimpiki imeondoa kwenye kifungo Urusi.

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 28.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Taarifa kutoka klabu ya Paris St. Germain zinasema kuwa mshambulizi Neymar atahitaji kufanyiwa upasuaji kuharakisha uwezekano wake wa kupona ili kushiriki kombe la dunia linaloanza mwezi Juni

Arsene Wenger: Sina wasiwasi wa kufutwa kazi Arsenal

http://ift.tt/eA8V8J Vijana wa Wenger watakuwa wenyeji wa viongozi wa ligi Manchester City mechi ya Ligi ya Premia mnamo Alhamisi, siku nne baada yao kupokezwa kichapo cha 3-0 katika fainali ya Kombe la Carabao na Manchester City uwanjani Wembley.

Kwa Picha: Furaha ya kuliona Kombe la Dunia Kenya

http://ift.tt/eA8V8J Wakenya wamejitokeza kwa wingi kulitazama na kupigwa picha na Kombe la Dunia ambalo limekuwa nchini humo kwa siku mbili.

Ian Wright: Hakuna sababu ya Arsene Wenger kusalia Arsenal lakini Stan Kroenke hajali

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu

Soccer Aid: Usain Bolt kucheza soka uwanja wa Manchester United Old Trafford

http://ift.tt/eA8V8J Bingwa wa Olimpiki Usain Bolt hatimaye atapata fursa ya kuchezea soka katika uwanja wa Manchester United wa Old Trafford.

ANGALIA BONDIA ALIYEFARIKI DUNIA BAADA YA KUSHINDA PAMBANO

Image
http://ift.tt/2EV3UmV Mwanamasumbwi raia wa Uingereza, Scott Westgarth amefariki dunia akiwa hospitali baada ya kutwaa ubingwa wake dhidi ya Dec Spelman huko Doncaster. Westgarth mwenye umri wa miaka 31, alianguka katika chumba chake cha kubadilishia nguo siku ya Jumamosi kufuatia kutwaa mkanda kwa pointi raundi ya 10 dhidi ya Spelman. Kwa upande wa promota wake, Stefy Bull kupitia mtandao wake wa Twitter amesema kuwa “Nimemshuhudia kijana akifanya kazi anayoipenda kiasi kwamba yupo tayari kuhatarisha hata maisha yake, sina maneno mengi ya kusema hasa katika kipindi hiki kigumu kwa familia, timu na marafiki hakika inauma,” amesema Bull. dec spelman @dec_spelman Absolutely heartbroken and lost for words ail continue to pray for Scott’s family and the people close to him rest easy my friend xxx 11:58 AM – Feb 26, 2018 994 239 people are talking about this Twitter Ads info and privacy Taarifa zinasema kuwa Westgarth ameonekana kuwa mwenye maumivu baada ya pambano hilo licha ya kuposti...

Neymar aondolewa uwanjani kwa machela Ufaransa

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar aliondolewa uwanjani kwa machela baada ya kuumia wakati wa mechi ya ligi kuu dhidi ya Marseille.

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 26.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Mshambulizi wa zamani wa Arsenal Thierry Henry anasema angependa kuchukua nafasi yake Arsene Wenger kama meneja wa Arsenal (Sky Sports)

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2BPVfUg          

MANCHESTER CITY WAITANDIKA ARSENAL,WANYAKUA KOMBE LA KWANZA 2017/2018

Image
http://ift.tt/2ovOjDu Club ya Man City inayofundishwa na kocha Pep Guardiola usiku wa February 25 2018 ilifanikiwa kutwaa taji lake la kwanza msimu wa 2017/2018 dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Wembley jijini London, game hiyo ilikuwa ni game ya fainali ya Carabao Cup. Pep Guardiola amefanikiwa kuiongoza Man City dhidi ya Arsenal kupata ushindi wa magoli 3-0, magoli ambayo yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 18, Vincent Kompany dakika ya 58 na goli la mwisho likafungwa na David Silva dakika ya 65. Kutwaa taji hilo kwa Man City kunawafanya wafikishe jumla ya mataji matano ya Kombe la Ligi, huku Liverpool ikisalia kama club pekee England iliyowahi kutwaa taji hilo mara nyingi zaidi ya timu zote ikitwaa mara nane, Arsenal wao leo wanakuwa wamepoteza fainali yao ya sita ya Kombe la Ligi kati ya fainali nane walizowahi kucheza.  

Man City washindi wa kombe la Carabao, wailaza Arsenal 3-0

http://ift.tt/eA8V8J Pep Guardiola ameshinda taji lake la kwanza msimu huu baada ya Manchester City kuifunga Arsenal katika fainali za kombe la Carabao mchezo uliopigwa kwenye dimba la Wembley.

MANCHESTER UNITED WAITANDIKA CHELSEA,LUKAKU NA LINGARD WATUPIA

Image
http://ift.tt/2ERRTCU Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 imeendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa, Crystal Palace walikuwa wenyeji wa Tottenham Hotspurs game ambayo ilimalizika kwa Spurs kupata ushindi wa goli 1-0 lakini game iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ni game kati ya Man United dhidi ya Chelsea iliyochezwa Old Trafford. Hii ni game ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutokana na kukutanisha timu zenye mashabiki wengi England na Afrika kwa ujumla, Man United wakiwa nyumbani licha ya kuanza kuruhusu goli lakini walifanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ambayo yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 39, Jesse Lingard dakika ya 75 wakati goli pekee la Chelsea lilipatikana dakika ya 32 kupitia kwa Willian. Ushindi huo sasa unaifanya Man United kufikisha jumla ya point 59 na kuwa nafasi ya pili nyuma ya Man City inayoongoza Ligi kwa tofauti ya point 13, Chelsea wao baada ya kupoteza leo wameshuka hadi nafasi ya 5 kwa kuendelea kusalia na point 53, hivyo kutokana na Spurs kushi...

Manchester United watoka nyuma na kuwashinda Chelsea 2-1

http://ift.tt/eA8V8J Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 25.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Kiungo wa kati mfaransa Paul Pogba yuko tayari kuondoka Manchester United ikiwa meneja Jose Mourinho ataendelea kuwepo Old Trafford. (Sun on Sunday)

Liverpool yapanda hadi nafasi ya pili katika jedwali baada ya ushindi mkubwa

http://ift.tt/eA8V8J Mohamed Salah alifunga bao la lake la sita mfululizo na kuisadia Liverpool kupanda hadi nafasi ya pili katika jedwali la ligi kupitia ushindi mzuri uliowafurahisha mashabiki wake dhidi ya West Ham.

Tazama tetesi za soka wiki hii na Salim Kikeke

http://ift.tt/eA8V8J Je hatma ya mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane na kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba ni ipi?

Tetetsi za soka Ulaya Jumamosi 24.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amekubali kandarasi mpya na klabu hiyo yenye thamani ya takriban £20m kwa mwaka hadi 2021,ikiwa ni nyongeza ya £3m ya mkataba wake wa sasa. (Mail)

NIYONZIMA ANUSURIKA KUPIGWA KISU INDIA

Image
http://ift.tt/2Ci7iLd KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika kufanyiwa oparesheni mguuni mwake baada ya vipimo vya uchunguzi wa jeraha lake kutoka na kuonyesha hakuna haja ya kupasuliwa. Niyonzima, raia wa Rwanda, alisafiri Jumanne wiki hii kwenda India kufanyiwa matibabu ya jeraha lake alilolipata chini ya enka katika mguu wake wa kulia. Jeraha hilo limemuweka Niyonzima nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili sasa tangu Desemba mwaka jana ikiwa ni miezi michache baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Yanga. Akizungumza na Championi Jumamosi kutoka Hospitali ya Jeevika, India anapopatiwa matibabu, kiungo huyo alisema, kutokana na vipimo alivyofanyiwa hatofanyiwa operesheni tena, badala yake itatumika njia kumtibu. Namshukuru Mungu kwa kuepuka kufanyiwa oparesheni ndogo katika jeraha langu, madaktari wameniambia jeraha langu halihitaji oparesheni na badala yake watatumia njia nyingine ya matibabu ili nipone haraka. “Nilipopimwa huko Dar es Salaam, ilionekana ni lazima nifanyiwe...

Sergi Roberto ajifunga FC Barcelona hadi mwaka 2022

Image
http://ift.tt/2sNjDmH Kiungo wa klabu ya FC Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022. Roberto mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34 msimu huu amehusishwa kutaka kujiunga na kikosi cha Pep Guardiola wa Manchester City. Bosi wa klabu ya Barcelona, Ernesto Valverde amehakikisha kumuongezea mkataba mchezaji huyo huku hada yake ya uhamisho kwa timu itakayo muhitaji ikiwa ni pauni milioni 440.   

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 23.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Kipa wa Spain David de Gea, 27, anatarajiwa kuandikisha mpya na klabu ya Manchester United akiipuzilia mbali uhamisho wake kuelekea Real Madrid. (Times - subscription)

RAIS WA FIFA APAGAWA NA NGUO ZA KIMASAI ALIZOVALISHWA

Image
http://ift.tt/2GBhv3l Rais wa Fifa, Gianni Infantino anaongoza kikao cha siku moja kujadili masuala mbalimbali kuhusu soka la vijana na wanawake na maendeleo ya mchezo wake kwa jumla. Mara baada ya kuwasili ukumbi hapo akiwa katika msafara wa magari manne, Infantino aliyefuatana na Rais wa CAF, Ahmad Ahmad pamoja na Rais wa TFF, Wallance Karia, Mjumbe wa CAF na mwenyekiti wa BMT, Leodegar Tenga na Kaimu Katibu wa TFF, Wilfred Kidau alivalishwa mgolole na wamasai waliokuwa akicheza ngoma nje ya ukumbi wa Mwalimu Nyerere. Rais huyo wa FIFA baada ya kuvalishwa mgolole pamoja na Rais wa CAF, alivalishwa bangili na alipewa kirungu kiilichotengenezwa kwa kisu. Walipoingia ndani ya jingo hilo, walipata zawadi maalumu kutoka Bodi ya Utalii Tanzania pamoja na nakala zinazozungumzia Tanzania na hifadhi zake. Awali wajumbe kutoka nchi 19 walitangulia wakiongozwa na Katibu mkuu wa Fifa, Fatma Samoura ambaye naye alionekana kufurahia mapambo ya kimasai kwa wamasai waliokuwa wakiuza bidhaa zao. ...

NAOHODHA WA YANGA NADIR APATWA NA MSIBA,YEYE AKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

Image
http://ift.tt/2EKVP4v Nahodha wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amepatwa na msiba wa kufiwa na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Anwar Nadir asubuhi ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Hayo yamethibitishwa na taarifa zilizotolewa na uongozi wa timu hiyo na kusema Cannavaro amepokea habari hiyo ya msiba akiwa visiwa vya Shelisheli na wachezaji wenzake. “Mapema leo asubuhi Canavaro akiwa visiwa vya Ushelisheli amepata msiba wa mwanae Anwar Nadir Ally aliefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya matatizo ya damu. Uongozi wa Yanga SC kwa ujumla chini ya Kaimu Mwenyekiti inatoa pole kwa Nahodha wetu pamoja na familia yake kwa ujumla kwenye kipindi hiki kigumu”, imesema taarifa hiyo.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2ELnJ4s              

Chelsea yatoa sare ya 1-1

http://ift.tt/eA8V8J Klabu za Chelsea na Barcelona zimemetoka sare katika mchezo wa kwanza wa raundi ya 16 katika michuano ya klabu bingwa Ulaya UEFA Championship

Kenya yamsaka kocha mpya wa Harambee Stars baada Paul Put kujiuzulu

http://ift.tt/eA8V8J Kenya inamsaka mkufunzi mpya wa timu yake ya taifa baada ya kocha Paul Put kujiuzulu miezi mitatu baada ya kuzinduliwa

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2HuqBQJ      

ManCity yabanduliwa kombe la FA na klabu ya daraja la kwanza Wigan Athletic

http://ift.tt/eA8V8J Wigan Athletic ilisitisha matumaini ya ManCity ya kupata mataji mengi baada ya kuwashangaza katika mechi ya raundi ya tano ya kombe la FA

WADHAMINI WA KILI MARATHON WAFANYA AMSHA AMSHA

Image
http://ift.tt/2C7RPNC Wadhamini wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametoa wito kwa watanzania na washiriki wengine kuhakikisha wanajiandikisha mapema ili kushiriki katika mbio za mwaka huu ambazo zinatarajiwa kuwa kubwa zaidi na kuwavutia watu wengi zaidi ikilinganishwa na mwaka jana. Rai hii inakuja takriban wiki mbili kabla kufanyikakwa mbio hizo maarufu ndani na nje ya nchi ambazo huwaleta pamoja zaidi ya washiriki 10,000 kutoka nchi zaidi ya 45 mjini Moshi ambapo mbhio hizi hufanyika. Akizungumza jinini Dar es Salaam, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, ambaye bia yake ndio mdhamini mkuu, alisema tayari usajili umeshafunguliwa na kuwataka washiriki hususan wale wa mbio za kilometa 42 zinazodhaminiwa na bia hiyo, kujisajili kwa wingi ili Milioni 20 walizotenga za zawadi zibaki Tanzania. “Bila shaka tunatarajia kuwa mbio za mwaka huu zitakuwa kubwa zaidi ndio maana tunasisitiza kuhusu usajili mapema ili kuepuka usumbufu dakika za mwisho,” alisema huku ak...

Mchezo wa Vitoria dhidi ya Bahia wasitishwa baada ya kutolewa kadi 10 nyekundu na 8 za manjano

http://ift.tt/eA8V8J Mchezo wa soka nchini Brazilbaada ya wachezaji 10 kutimuliwa uwanjani katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mchezo

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 19.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J AC Milan na Inter Milan wana nia ya kumsaini mshambuliaji Mario Balotelli, 27, kutoka Nice

Real Madrid yailaza Real Betis 5-3

http://ift.tt/eA8V8J Marco Asensio alifunga mabao mawili na kuisaidia Real Madrid kuizaba klabu ya Real Betis 5-3 na kuipatia klabu hiyo ushindi wa tatu mfululizo

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2EE85ru              

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 18.02.2018

http://ift.tt/eA8V8J Meneja wa Manchester United Jose Mourinho alijibizana na kiungo wa kati mfaransa Paul Pogba na mlinzi raia wa England Phil Jones baada ya kikosi chake kulimwa na Newcastle wiki iliyopita

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2Hso3mk