Sergi Roberto ajifunga FC Barcelona hadi mwaka 2022
http://ift.tt/2sNjDmH
Kiungo wa klabu ya FC Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022. Roberto mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34 msimu huu amehusishwa kutaka kujiunga na kikosi cha Pep Guardiola wa Manchester City.
Bosi wa klabu ya Barcelona, Ernesto Valverde amehakikisha kumuongezea mkataba mchezaji huyo huku hada yake ya uhamisho kwa timu itakayo muhitaji ikiwa ni pauni milioni 440.