Posts

Showing posts from October, 2017

MANCHESTER UNITED WAITANDIKA BENFICA,CHELSEA CHALI,PSG YAUA

Image
http://ift.tt/2iRgxtg Jana usiku kulikuwa na michezo nane katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya kwenye michuano ya Klabu bingwa barani humo ambapo klabu kubwa zimeendeleza ubabe kwenye michuano hiyo kwa ushindi mnono huku klabu ya Chelsea ikikubali kichapo cha goli 3-0 kutoka kwa klabu ya Roma ya Italia. Kwenye mchezo wa Roma dhidi ya Chelsea, Chelsea walionekana kuelemewa tangu kipindi cha kwanza na kuruhusu magoli mawili kutoka kwa mshambuliaji wa Roma, Stephan El Shaarawy kabla ya goli la tatu kipindi cha pili. Nayo klabu ya PSG ya Ufaransa iliendeleza ubabe kwa kuichakaza Anderlecht goli 5-0. Magoli ya Veratti, Neymar na Hat-Trick kutoka kwa Layvin Kurzawa zilikamilisha salio la goli 5-0. Man United nao wakiwa nyumbani Old Trafford wamepata ushindi mnono wa goli 2-0 dhidi ya klabu ya Benfica. Bayern Munich nao wamepata ushindi mwembamba wa goli 2-1 ugenini dhidi ya klabu ya Celtic. Matokeo mengine Barcelona wamelazimishwa sare tasa ya bila kufungana na klabu ya Olympiaco...

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2xJ2etg      

Van Niekerk kuikosa michuano ya Jumuiya ya madola 2018

http://ift.tt/eA8V8J Mkimbiaji wa Afrika Kusini Wayde van Niekerk ataikosa michuano ya jumuiya ya Madola ya 2018 baada ya kuumia goti wakati akishangilia.

UEFA: Man U yaichapa Benfica 2-0

http://ift.tt/eA8V8J Manchester United ikiwa nyumbani katika dimba la Old Trafford imefanikiwa kuichapa Benfica 2-0 na kwa mara ya kwanza ndani ya miaka minne inaweza kuingia katika hatua ya mtoano.

Katie Taylor kupanda ulingoni Desemba 15

http://ift.tt/eA8V8J Bingwa mpya wa dunia wa mkanda wa WBA Katie Taylor anatarajiwa kutetea taji hilo la uzito wa kati Desemba 15 nchini Uingereza.

Download Bongo Exclusive Application on Google Playstore #BongoExclusive

Image
Download Bongo Exclusive Application and get Exclusive features zinazopatikana kwenye APP Pekee!  Your browser does not support the video tag. DOWNLOAD HERE FREE

''Kikosi cha Guardiola kinacheza soka maalum''

http://ift.tt/eA8V8J Pep Guardiola amebadilisha mchezo wa klabu ya Manchester City na sasa mchezo wa kikosi hicho umeanza kuwavutia mashabiki kote duniani, kulingana na kipa wa zamani wa klabu hiyo Shay Given.

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.10.2017

http://ift.tt/eA8V8J Arsenal wana mpango ya kumsaini mchezaji wa safu ya kati wa Napoli Jorginho 25.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2iN26Xe  

Tiger Woods kurejea uwanjani karibuni

http://ift.tt/eA8V8J Tiger Woods anatarajiwa kurejea tena katika mchezo wa gofu miezi nane baada ya kuandamwa na majeraha.

Morata: Nipo tiyari kuishi London kwa miaka 10

http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata amekanusha uvumi kwamba hapendi kuishi jiji la London na yupo tiyari kusaini mkataba wa miaka kumi kama itawezekana.

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 30.10.2017

http://ift.tt/eA8V8J Manchester City wanaamini kuwa wanaweza kumpata mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid, Isco, 25, licha ya yeye kusaini mkataba wa muda mrefu huko Bernabeu.

CAVANI ATAKA KUZICHAPA NA BALOTELLI,PSG WAKIIBUKA NA USHINDI

Image
http://ift.tt/2z1vkro Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli akimtolea vitisho nyota wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc de Princes mjini Paris. PSG ilishinda 3-0, Cavani akifunga mabao mawili dakika ya pili na 31 na lingine Dani Alves dakika ya 52Dani Alves celebrates with Edinson Cavani after bundling home his headed pass to give Paris Saint Germain their third goalEarlier, s        

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2z3rJZR      

Lewis Hamilton atwaa taji la nne la dunia

http://ift.tt/eA8V8J Dereva Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda taji la nne la dunia katika michuano ya Mexico grand prix licha ya kumaliza akiwa nafasi ya tisa baada kugongana na Sebastian Vettel.

Federer amchapa Del Potro michuano ya Uswisi

http://ift.tt/eA8V8J Mchezaji namba mbili kwa ubora katika tenisi duniani kwa upande wa wanaume Roger Federer amefanikiwa kumshinda Juan Martin Del Potro katika michuano ya ndani ya Uswisi.

Anthony Joshua: Mwaka 2018 utaanza vizuri kwangu

http://ift.tt/eA8V8J Bondia Anthony Joshua amesema upo uwezekano wa mwaka 2018 kuanza vizuri baada kumaliza 2017 kwa kumchapa Carlos Takam.

Ushindi wa Anthony Joshua dhidi ya Takam wazua utata

Image
http://ift.tt/2yTnMHF Jana usiku kulikuwa na pambano kubwa la masumbwi kati ya Bondia Muingereza, Antony Joshua na bondia Carlos Takam kutoka Cameroon. Ambapo Joshua alimaliza pambano kwa kumtwanga Takam kwa TKO iliyoleta utata kwa mashabiki. Joshua alipata ushindi wa TKO kunako raundi ya 10 kwa refa kusimamisha pambano hilo baada ya Takam kuvuja damu nyingi usoni. Watu wengi waliohudhuria kwenye pambano hilo walimzomea mwamuzi wa pambano hilo wakidai Takam alikuwa bado ana nguvu ya kupambana japokuwa alikuwa amepasuka usoni. Mashabiki wengi wa Takam wanasema refa angempa muda bondia huyo kufutwa damu ili aendelee na pambano kwani alikuwa bado na nguvu za kurusha ngumi hivyo wanaamini mwamuzi huyo alimaliza pambano kwa matakwa. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mpambano huo, Anthony Joshua amesema kama pambano lingeendelea angemuumiza zaidi Takam hivyo maamuzi ya refa yalimuokoa . Huu unakuwa ni ushindi wa 20 mfululizo kwa Antony Joshua (28) baada ya kufanikiwa kutetea u...

CHECK PICHA ZLATAN IBRAHIMOVIC ALIVYOJITOKEZA KUMPA SAPOTI JOSHUA

Image
http://ift.tt/2yTqJHX It may not have been as glamorous as the night he faced Wladimir Klitschko, but Anthony Joshua still attracted a number of sporting stars to his fight against Carlos Takam in Cardiff. High profile boxing matches have a tendency to bring the great and the good of the sporting world together and it was no different on Saturday night. Manchester United players Zlatan Ibrahimovic and Marcos Rojo were the first two to be spotted.    

ANGALIA PICHA ANTHONY JOSHUA AMTANDIKA TAKAM ,AWEKA REKODI

Image
http://ift.tt/2yVjjnH Pain is etched across the face of a blood-spattered Takam as the contender takes a heavy punch in the latter stages Anthony Joshua had predicted it would take him 10 rounds to break down Carlos the Parisian jackal with a cement head. So it proved. Although the defeated Monsieur Takam was not alone in complaining that AJ had not been allowed to finish the job. The unheralded Afro-Frenchman was bleeding from cuts above both eyes as Joshua unloaded in the 10th round under the roof of Cardiff’s Principality Stadium.                      

MANCHESTER UNITED WAITANDIKA TOTTENHAM SPURS

Image
http://ift.tt/2zglLWq   klabu ya Manchester united imepata ushindi mwembamba dhidi ya tottenham wa goli 1-0, goli lililofungwa dakika 10 kabla ya mchezo kumalizika kupitia kwa mchezaji wake Anthony Martial. spurs wamelazimika kucheza bila mshambuliaji wao Harry kane mwenye jeraha lakini wameonesha mchezo mzuri licha ya kupoteza mechi hiyo kwa kipigo cha goli 1-0 Manchester amebaki nafasi ya pili akiwa na points 23 akitanguliwa na Manchester city mwenye point 25 na endapo atashinda mechi yake dhidi ya West brom atakuwa mbele kwa point 5 kwa jumla ya point 28

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
http://ift.tt/2yUPSjg        

Man United yafufuka na kuilaza Tottenham Hotspurs

http://ift.tt/eA8V8J Bao la kipindi cha lala salama la Anthony Martial's limeiweka Manchester United katika nafasi ya pili katika jedwali la ligi ya Premia baada ya kuilaza Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Old Trafford

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 28.10.2017

http://ift.tt/eA8V8J Barcelona iko tayari kumsajili mshambuliaji wa Ateletico Madrid Antoinne Griezman kwa dau la £89m msimu ujao (Mundo Deportivo - in Spanish)

Anthony Joshua kuzipiga dhidi ya raia wa Cameroon

http://ift.tt/eA8V8J Bingwa wa mkanda wa WBA na IBF katka uzani mzito dunia Anthony Joshua anasema kuwa atapigana kama bingwa wakati alipomzidi uzani mpinzani wake Carlos Takam mjini Cardiff

Kikosi kizima cha Yanga kitakachoivaa Simba leo

Image
http://ift.tt/2ybE4Md KIKOSI CHA YANGA: 1. Youthe Rostand 2. Juma Abdul 3. Gadiel Michael 4. Andrew Vicent 5. Kelvin Yondani 6. Papy Tshitshimbi 7. Pius Buswita 8. Raphael Daud 9. Obrey Chirwa 10. Ibrahim Ajibu 11. Geofrey Mwashiuya