MANCHESTER UNITED WAITANDIKA TOTTENHAM SPURS
http://ift.tt/2zglLWq
klabu ya Manchester united imepata ushindi mwembamba dhidi ya tottenham wa goli 1-0, goli lililofungwa dakika 10 kabla ya mchezo kumalizika kupitia kwa mchezaji wake Anthony Martial.
spurs wamelazimika kucheza bila mshambuliaji wao Harry kane mwenye jeraha lakini wameonesha mchezo mzuri licha ya kupoteza mechi hiyo kwa kipigo cha goli 1-0
Manchester amebaki nafasi ya pili akiwa na points 23 akitanguliwa na Manchester city mwenye point 25 na endapo atashinda mechi yake dhidi ya West brom atakuwa mbele kwa point 5 kwa jumla ya point 28