ANGALIA PICHA MAPOKEZI YA ZLATAN IBRAHIMOVIC ALIVYOTUA MAREKANI

https://ift.tt/2J7jYVm

Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amepokelewa kifalme na mashabiki wa timu yake mpya ya LA Galaxy ya nchini Marekani.

Ibrahimovic alitua katika uwanja wa ndege wa Los Angeles International Airport na kukutana na umati mkubwa wa mashabiki wa LA Galaxy.
March 23 ya mwaka huu, Zlatan alisaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo ambayo inashiriki ligi kuu ya Marekani.

Popular posts from this blog