Wenger asema haogopi kumpoteza Alexis Sanchez Januari
http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa haogopi kumpoteza Alexis Sanchez mnamo mwezi Januari licha ya mshambuliaji huyo kuifungia Arsenal mabao mawili dhidi ya Crystal Palace