Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 22.12.2017
http://ift.tt/eA8V8J Inter Milan wameonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Manchester United Henrikh Mkhitaryan kwa mkopo mwezi Januari, lakini bado hawajaweka wazi kama watamnunua moja kwa moja nahodha huyo wa Armenia.(Gazzetta dello Sport, via Talksport)