Pep Guardiola kuzungumza na Manchester City kuhusu mkataba

http://ift.tt/eA8V8J Manchester City watafanya mazungumzo na meneja wao Pep Guardiola kuhusu mkataba mpya majira yajayo ya joto huku wakiendeleza lengo lao la kuunda himaya ya soka itakayotishia ile ya Manchester United.

Popular posts from this blog