Mourinho ashangazwa na Klopp kwa kununua mchezaji kwa dau la £75m
http://ift.tt/eA8V8J Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho amehoji madai ya mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp's ya mwaka 2016 kwamba yuko tayari kuwacha kazi yake badala ya kutumia fedha nyingi kununua wachezaji