Mkenya Victor Wanyama kurudi katika kikosi cha Tottenham

http://ift.tt/eA8V8J Kiungo wa kati wa Tottenham Victor Wanyama amerudi katika mazoezi kufuatia jeraha la goti na huenda akarudi katika kikosi cha Pochetino kulingana na meneja huyo

Popular posts from this blog