Antoine Griezmann: Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi
http://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji nyota wa Atletico Madrid na Ufaransa Antoine Griezmann ameomba radhi baada yake kushutumiwa vikali kwa kujipaka rangi nyeusi kama sehemu ya utani wa kubadilisha sura.