Posts

Bongo Exclusive

Image
Bongo Exclusive Bongo Exclusive Bongo Exclusive Bongo Exclusive Bongo Exclusive Bongo Exclusive Bongo Exclusive

SIMBA KUFANYA MKUTANO WA DHARURA JUMAPILI MEI 20

Image
https://ift.tt/2riASc7 Uongozi wa Klabu ya Simba unapenda kuwataarifu kwamba, kutakuwa na Mkutano wa Mabadiliko ya katiba utakaofanyika siku ya Jumapili ya tarehe 20/5/2018

WEMA AMTUMIA SALAMU NZITO HAJI MANARA KISA HIKI HAPA

Image
https://ift.tt/2Kwa93O Msanii Wema Sepetu, ametuma salamu kwa mkuu wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara, na kutamba kwa kusema, klabu ya Yanga ndio timu kubwa na yenye mafanikio hapa nchini na kitendo cha kufungwa na Simba katika mchezo wa April 29 ni sehemu ya mchezo tu. Akiongea na waandishi wa habari Mei 02 wakati wa kutambulishwa kama balozi wa Startimes kueleka kombe la dunia, Wema amesema yeye ni mpenzi mkubwa wa timu Yanga na hata katika kuchukua ubingwa timu hiyo imefanikiwa zaidi kuliko wapizani wao simba. “Mpelekeeni salamu Haji Manara, anajua kabisa kwamba Yanga tumechukua ligi (kuu bara) mara nyingi sana, kwa hiyo wao (Simba) kutufunga juzi ni changamoto, katika ubingwa huwa tunawachapa kilasiku”, amesema Wema Haji Manara na msanii Wema Sepetu wamekua na tambo za maneno kuhusu timu za Simba Yanga hususani katika mitandao ya kijamii. Akiongelea kuhusu nchi wakilishi wa bara la Afrika katika michuano ya kombe la dunia Wema amesema, bado kuna changamoto ...

Wachezaji wazuri ambao hawana kandarasi : Reina, Robben, Buffon, Can, Ribery, Wilshere

https://ift.tt/eA8V8J Baadhi ya wachezaji wazuri hawajatia kandarasi mpya na klabu zao msimu huu, ni wangapi wana thamani ya juu?

Cristiano Ronaldo Jr atakuwa stadi wa kandanda kama babake?

https://ift.tt/eA8V8J Ronaldo ameonekana katika kila hatua kumuandaa mwanawe wa kiume Cristiano Jr kuwa mchezaji soka mahiri na pia kuzoea maisha ya umaarufu na kuangaziwa kila wakati na wanahabari.

Mohamed Salah ndiye mchezaji bora wa tuzo ya waandishi wa kandanda

https://ift.tt/eA8V8J Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka na muungano wa waandishi