Cristiano Ronaldo Jr atakuwa stadi wa kandanda kama babake?
https://ift.tt/eA8V8J Ronaldo ameonekana katika kila hatua kumuandaa mwanawe wa kiume Cristiano Jr kuwa mchezaji soka mahiri na pia kuzoea maisha ya umaarufu na kuangaziwa kila wakati na wanahabari.